Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Punguza pressure Andaa ,nguo na nauli za kufata barua dodoma... Kupata Kazi utumishi ni kama kifo tu kila mtu aliyepo database atafikiwa ni suala la muda.... Na washasema Hawataki uchafu wa database wafike nao 2024 yani kuna fagia fagia hukoo... watu wanaambiwa kabisa maofisini kama unahisi una miaka 57 staff kwa hiyari ule mzigo kuna damu changa zipo motoo tunataka tuwaweke humu.
Mkuu usinambie database ya mwaka huu ni lazma iishe this year?
 
Mimi nakwambia Andaa Nauli, na kama unabisha wait IT adondoshe Pdf uone shuhuda... Na halmshauri zimejaa yani ni mwendo wa Mitaasisi mi TBS huko, miofisi mikubwa mikubwa ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi... Hazina hazina , Tume ya uchaguzi yaniiii Waits for Asali
Mkuu usinambie database ya mwaka huu ni lazma iishe this year?
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Urasimu,ukiritimba,ubinafsi ,connection oriented mind,wingi wa waombaji wa nafasi husika,vimemo vya kuomba kutoa koneksheni kwa vijana wa wenye kamba ndefu upungufu wa miundo ya mawasiliano na kadhalika kadhalika🫢.Ila ni mawazo tu kwa maana ya kujenga na sii kumkatisha yeyote tamaa,ama vinginevyo.
 
Watu wa Umeme.
Watu wa CDO.
Watu wa makatibu afya.
Yani inshort unajijua ulikuwa database hili Pdf ambalo Analo IT ,linaitwa zoa zoa ..atawafurahisha

.... Make sure una nauli yako before Chrismass unaweza lia ukiwa kwenye Bus kwenda Dodoma....
Nikisoma hizi sms znanipa nguvu ya kuendelea kuamin kuwa ipo siku...nitafungua PDF nikutane na jina langu
 
Back
Top Bottom