Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

yaani nnimekom

unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu.

unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. 😂 😂 😂
Inafanana kabisa na scenario yangu ya interview ya kwanza😂😂😂
 
inasema selected for oral interview
Sheikh kunywa juice, Kwenye dua zako za usiku usiombe tena Mungu nisaidie nipate kazi, Omba Kwa hapa nilipofika Mungu nisaidie nipate eneo la kazi lenye mazingira mazuri ya kazi ,hakuna fitna ,nuksi na kurogana na maslahi bora... Wewe ni mtumishi ...Hapo kwako Imebakia Subra maana Imani ipo tayari
 
🤣🤣🤣🤣 we nipe moyo tu alafu nije nikandwe
 
Wazee wa Matunguli AKA ma Afisa utamaduni vipi apo mkuu za chini ya kapeti IT Fabrizio Romano[emoji3][emoji3], Binafsi nafarijika sana na Shuhuda za wanajamvi toka safari walipotokea hadi kupata placement Mungu azidi kututia nguvu Siku njema zi mbele yetu.
 
Watu wa Umeme.
Watu wa CDO.
Watu wa makatibu afya.
Yani inshort unajijua ulikuwa database hili Pdf ambalo Analo IT ,linaitwa zoa zoa ..atawafurahisha

.... Make sure una nauli yako before Chrismass unaweza lia ukiwa kwenye Bus kwenda Dodoma....
Na afadhali iwe ivyo ,maana tushaonekana vibaka kabisa ,mtu unaenda piga interview Kwa kuunga unga ,unakuta umejichanga + kukopa na kupiga vizinga kwa wazazi
Mzazi kila siku anakuuliza interview mliyofanya vipi ,we mbona upo upo tu ?
Acha kabisa
 
Mkuu umeandika kwa hisia Kali kinoma, dah na kweli hii asilimia kubwa wengi wanajisahau misoto waliyopitia, ndo mwanzo wa nuksi kazini maana unasahau mpaka waliojitoa ili upate
 
yaani ukishawaambia watu tu nikosa kubwa ilo.mie nilifanya hivyo alafu nikakandwa kila siku watu walikua wananiuliza nawaambia matokeo bado mpaka walichoka wakajiongeza wenyewe [emoji1787] [emoji1787]
Hahahaaa.

Mimi pia wakati napambana na mikando, watu wachache walikuwa wanajua tu.

Ndugu wengi walikuwa hawajui kama huwa napiga route za Dom isipokuwa mmoja tu ambaye nilikuwa namkopesha hela, ila ikifika siku za mikando ndio namdai na inakuwa nafuu kulipa kumbuka ndugu huwa hakopeshwi, mikando ilinifanya nipate nguvu ya kumdai.

Ukiachana na family yangu ndani, wwngine waliokuwa wanajua ni watu wa kijiweni tu sababu ya kuomba ruhusa huko kijiweni.

Kwa hiyo nilipokuwa nakandwa hawa watu ndio walikuwa wanajua tu.

Ndugu wengine walikuja kusherehekea tu ushindi baadae ndipo wakajua kumbe niliwahi kufanya mikando.

Kupiga hustle kimya kimya napo kuna faida yake, siku ukiibuka watu wataanza kushangaa na kukupa kaheshima hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…