Le Cyrus
Member
- May 18, 2022
- 40
- 65
Izi commebt za It personnel zinanipa nguvuNakubali[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izi commebt za It personnel zinanipa nguvuNakubali[emoji120]
Izi commebt za It personnel zinanipa nguvuNakubali[emoji120]
yaani nnimekom
unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu.
Inafanana kabisa na scenario yangu ya interview ya kwanza😂😂😂unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. 😂 😂 😂
M2mishi wa umma mtarajiwa[emoji1787] [emoji1787] mie sio mtumish bana
mmmhh matokeo yenyewe hawatoi unaweza kua unasubiria placement kumbe ulipata 15%M2mishi wa umma mtarajiwa
Status inasemajemmmhh matokeo yenyewe hawatoi unaweza kua unasubiria placement kumbe ulipata 15%
inasema selected for oral interviewStatus inasemaje
Sheikh kunywa juice, Kwenye dua zako za usiku usiombe tena Mungu nisaidie nipate kazi, Omba Kwa hapa nilipofika Mungu nisaidie nipate eneo la kazi lenye mazingira mazuri ya kazi ,hakuna fitna ,nuksi na kurogana na maslahi bora... Wewe ni mtumishi ...Hapo kwako Imebakia Subra maana Imani ipo tayariinasema selected for oral interview
Uhakika uoinasema selected for oral interview
🤣🤣🤣🤣 we nipe moyo tu alafu nije nikandweSheikh kunywa juice, Kwenye dua zako za usiku usiombe tena Mungu nisaidie nipate kazi, Omba Kwa hapa nilipofika Mungu nisaidie nipate eneo la kazi lenye mazingira mazuri ya kazi ,hakuna fitna ,nuksi na kurogana na maslahi bora... Wewe ni mtumishi ...Hapo kwako Imebakia Subra maana Imani ipo tayari
nikikandwa je..?Uhakika uo
si umeona ndugu yetu hataki kuleta mrejesho kwenye uzi..🤣 🤣nikikandwa je..?
Mkuu Hicho ni kama kifo, Utachelewa tu ila kwenye pdf lazima uwepo... Ndio sera ya Utumishi ...Wasio na connection wakapate ajirasi umeona ndugu yetu hataki kuleta mrejesho kwenye uzi..🤣 🤣
haya bana..Mkuu Hicho ni kama kifo, Utachelewa tu ila kwenye pdf lazima uwepo... Ndio sera ya Utumishi ...Wasio na connection wakapate ajira
Wazee wa Matunguli AKA ma Afisa utamaduni vipi apo mkuu za chini ya kapeti IT Fabrizio Romano[emoji3][emoji3], Binafsi nafarijika sana na Shuhuda za wanajamvi toka safari walipotokea hadi kupata placement Mungu azidi kututia nguvu Siku njema zi mbele yetu.Alafu kikubwa ni subra, Sasa wakuu kama wewe Tayari ushafanya Oral na subra inakuwa ngumu hivyo....
Yule ambaye hana hata Received afanyaje???...
Nyie Tulieni;- nawahaadi humu, before chrismass kuna shuhuda zitakuja humu si chini ya watu 10...
11--23 Kwenye range ya hizo tarehe 11pka 23) wale wa MDA & LGA wengi watachomokea hapo .
Kuna keka la kibane lipo jikoni, hilo keka ndio PSPRS wataenda kuchukulia sifa... Huu mwaka wadau hauishiiii
mkuu mwanzo mwanzo unakuwa na wenge ila mikando ikikolea hata ukifika oral unakausha tu kama hakijatokea kituYani kwann mnakuwa manatangaza?? Ww mwambie tu bi mkubwa hata ndugu zako ww wakaushie waone tu... Upo serikalini kitengo halmashauri ya Njombe mji. Huko
Na afadhali iwe ivyo ,maana tushaonekana vibaka kabisa ,mtu unaenda piga interview Kwa kuunga unga ,unakuta umejichanga + kukopa na kupiga vizinga kwa wazaziWatu wa Umeme.
Watu wa CDO.
Watu wa makatibu afya.
Yani inshort unajijua ulikuwa database hili Pdf ambalo Analo IT ,linaitwa zoa zoa ..atawafurahisha
.... Make sure una nauli yako before Chrismass unaweza lia ukiwa kwenye Bus kwenda Dodoma....
Mkuu umeandika kwa hisia Kali kinoma, dah na kweli hii asilimia kubwa wengi wanajisahau misoto waliyopitia, ndo mwanzo wa nuksi kazini maana unasahau mpaka waliojitoa ili upateExpectation kills....wakuuu... Yani unajikuta eti ushaanza plan unasema mimi kazini Tayari 😀....Ajira ni mchakato, lazima uumiee ,upigwe torture nyingiii....Alafu unamkuta mtu anapata kazi anaenda kuhonga, wakati Bimkubwa muda huu choo chake hakina mlango ameegesha makuti na matambara .... Kisa wewe kukusomesha na bado unamwambia bi mkubwa naomba niongezee kiasi fulani ,niende Dodoma kwenye interview Bimkubwa anakopa ,ana jinyima , Bimkubwa kula nyama kwake ni anasa, ..mtu unapata kazi unachukua laki 8 unaenda mnunulia simu Malaya, .... Oya wakuuu mtalaaniwaaaa
Hahahaaa.yaani ukishawaambia watu tu nikosa kubwa ilo.mie nilifanya hivyo alafu nikakandwa kila siku watu walikua wananiuliza nawaambia matokeo bado mpaka walichoka wakajiongeza wenyewe [emoji1787] [emoji1787]
Dah Mungu atende Tu na iwe Ivo mkuu.Watu wa Umeme.
Watu wa CDO.
Watu wa makatibu afya.
Yani inshort unajijua ulikuwa database hili Pdf ambalo Analo IT ,linaitwa zoa zoa ..atawafurahisha
.... Make sure una nauli yako before Chrismass unaweza lia ukiwa kwenye Bus kwenda Dodoma....