El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
pole chief nasoma comment kwa comment, ila naimani mtatutusua wakuu ni suala la muda tu.mfwende unaona wenzio tunavoteswa
yaah ni muhimu sana kwa wengine kujifunzaLeo 9 decemba . Kuna wapambanaji wezetu watakuwa wanatafuta bahat yao pale udom , dodoma paper za utumishi kada tofauti.
Tunaomba mrejesho jamani mkitoka uko
Muongo Muongo mganga njaa kama sisi unabet tuNaombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...
Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...
So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Sawa ni Mganga Njaa naomba kuanzia tarehe 11 zisipotoka placement za watu wa MDA & LGA + za wale wa Tehama... Uje u prove wrong.... Leo ni tarehe 9....Muongo Muongo mganga njaa kama sisi unabet tu
unaongea na inno jembe au.Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...
Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...
So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
unaongea na inno jembe au..All in All uhakika wa kutoka leo pdf uwezekano upo maana huwaga anaondokaga na flash Home... Japokuwa leo ni Sikukuu ya 9 Dec.... So kaeni na matumaini ila yawe madogo...
So kwa Mantinki hiyo hesabu zinaenda vile vile 11 j.tatu ✅
Tarehe 11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22 na 23. Ukikoswa pdf ya range ya tarehe hizo.... Basi unatakiwa usali sana Wakuu...
Leo pdf ipo ilyoshba..watu mnakumbka sherehe za uhuru huku mnawaza jtatu kuamkia masijala ya wazi [emoji23]Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...
Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...
So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....unaongea na inno jembe au..
Huyo Fundi AC amefail... Wewe tangia mwaka umeanza eti ....Mnaenda fanya usaili alafu watu wote mnakuwa selected for Oral... wamemfariji tuuu ....🤣unaongea na inno jembe au.
Leo pdf ipo ilyoshba..watu mnakumbka sherehe za uhuru huku mnawaza jtatu kuamkia masijala ya wazi [emoji23]
Nakuamini sana IT wetuNaombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...
Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...
So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Huyo Fundi AC amefail... Wewe tangia mwaka umeanza eti ....Mnaenda fanya usaili alafu watu wote mnakuwa selected for Oral... wamemfariji tuuu ....🤣
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....
Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...
Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... [emoji1787]....
Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.
Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.
Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.
Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.
Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.
So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...
Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.
naomba kueleweshwa hapa mkuuMkuu, umesoma kanuni zao!? Kwa kawaida huwa wanatafuta wastani written na oral