Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...

Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...

So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
 
Nafas za mkataba wa mwaka moja mkoa wa GEITA na halmashauri zakee kazi mradi wa ukimwi na kifua kikuuu Kuna ambaye kaomba wakuu?
 
All in All uhakika wa kutoka leo pdf uwezekano upo maana huwaga anaondokaga na flash Home... Japokuwa leo ni Sikukuu ya 9 Dec.... So kaeni na matumaini ila yawe madogo...
So kwa Mantinki hiyo hesabu zinaenda vile vile 11 j.tatu ✅

Tarehe 11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22 na 23. Ukikoswa pdf ya range ya tarehe hizo.... Basi unatakiwa usali sana Wakuu...
 
Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...

Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...

So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Muongo Muongo mganga njaa kama sisi unabet tu
 
Sawa ni Mganga Njaa naomba kuanzia tarehe 11 zisipotoka placement za watu wa MDA & LGA + za wale wa Tehama... Uje u prove wrong.... Leo ni tarehe 9....

Hesabu from Monday ya tarehe 11... Nakugangia njaa since tarehe 1 Dec nawaambia kuwa watu wa MDA placement ni from tarehe 11 mimi nilijuaje??
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Kama kuna watu wa MDA & LGA humu au hata kama una rafiki yako unamjua ....from 11 December-23 December ikitoka pdf yoyote naombeni mni prove wrong... .

Haina haja ya kunikibali au kukataa/kubisha tarehe 11 ni j.3 sio mbali usubirie ili ukija kubisha ubishe kwa ushahidi.
 
Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...

Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...

So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
unaongea na inno jembe au.
 
All in All uhakika wa kutoka leo pdf uwezekano upo maana huwaga anaondokaga na flash Home... Japokuwa leo ni Sikukuu ya 9 Dec.... So kaeni na matumaini ila yawe madogo...
So kwa Mantinki hiyo hesabu zinaenda vile vile 11 j.tatu ✅

Tarehe 11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22 na 23. Ukikoswa pdf ya range ya tarehe hizo.... Basi unatakiwa usali sana Wakuu...
unaongea na inno jembe au..
 
Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...

Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...

So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Leo pdf ipo ilyoshba..watu mnakumbka sherehe za uhuru huku mnawaza jtatu kuamkia masijala ya wazi [emoji23]
 
unaongea na inno jembe au..
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....

Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...

Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... 🤣....

Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.

Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.

Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.

Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.

Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.

So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...

Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.
 
Naombeni mrudie Post nilizosema kuwa Placement za MDA & LGA ni kuanzia tarehe (11-23) .... Kuna watu walikuwa wanabeza na wengine kidiriki kusema ni Muongo Muongo...

Leo ni tarehe 9.... Inawezekana IT akaweka mkeka wowote ....But uhakika kabisa wa placement kama mvua ni from tarehe 11-23 na uzuri niliandika week mbili nyuma but watu wakaniona nawadanganya...

So leo tegemeeni mkeka, but sio uhakika sana ila anaweza akaweka sababu kwa ratiba kuna majina yapo yalitakiwa kutoka before zoa zoa from tarehe 11 - 23 . Week hiyo itakuwa bandika bandua.
Nakuamini sana IT wetu
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....

Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...

Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... [emoji1787]....

Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.

Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.

Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.

Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.

Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.

So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...

Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.

Mkuu, umesoma kanuni zao!? Kwa kawaida huwa wanatafuta wastani written na oral
 
Back
Top Bottom