Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu Kama Ni Mkubwa na Bado Huna kitamburisho na Hujui barua za utamburisho nani anatoa... Hizo AC zinaenda kuungua Maana kichwani ni mweupe Cz umesoma Vyuo vya uchochoroni form 4 failure.... Yani Shule imeshindwa kukusaidia..... Bro unawaza Bachelor ya Ufundi AC🤣🤣 Kweli Akili ni Nywele kubabekiii
 
Reactions: 10k

Sijasomea nchini that’s WHY sielewi formal za nchi yangu so keep waiting bro don’t panic[emoji23]ukiishiwa MB njoo inbox ntakutumia boy
 
asee kuna waliowahi kupiga pepa la mansor and bricklaying vocational teacher VETA , watupe hints za maswali ya written.
kuna hawa nimeona wameitwa usaili wa vitendo
 
Mtu unaukaushia Uzi kwa mda kidogo,
Unarudi unakuta unread messages nyingi unaanza kuwaza huenda kuna jipya humu, then unakutana na tambo tu.
Kaushianeni bana kila mtu aendelee na mishe zake.

Mkuu ITpersonel endelea kutupa za ndani kaka asiye kuamin mkaushie. Dont loose your energy unnecessarily. Naamin hauko humu ku prove chochote au una lipwa bro? Binafsi unanipa matumaini in one way or another, bado tunahitaji watu kama akina makofia360 bana
 
Sijasomea nchini that’s WHY sielewi formal za nchi yangu so keep waiting bro don’t panic[emoji23]ukiishiwa MB njoo inbox ntakutumia boy
Sio kusoma Nchi...Yani hizo vitu ni uelewa wa kawaida wa darasa la saba... Sasa kama hicho tu huelewi...Kwann wajanja wasikuingize Mkenge Ukasome Degree ya Kutengeneza AC na Mafridge Daaahh ila hii nchi wajinga hawatakaa waje kuisha 🤣🤣
 
Sina hakika na kanuni zao, ila nachofahamu Written ni kwa ajili ya kuchuja tu, na ndio maana idadi ikiwa ndogo hutakuta written hata iweje,

Ila watu wakiwa wengi lazima iwepo

Practical na Oral ndio mkenge unapokuwa ikiwa utajichanganya maana hata ujibu vipi vizuri written na upate mia kwenye practical mwezako akikuacha mbali atapewa yeye maana anajua, afu wewe inawezekana umemeza tu madesa

Oral na Practical ndio msingi , written ni shortlisting tu japo pia itakuwa considered pia kwenye baadhi ya masuala
 

[emoji23][emoji23][emoji23]just I little mental ya watu weusi ufundi (engineering) sio kutengeneza vibovu tu kama mafundi mchundo walivowakalilisha just DESIGN,REPAIR,SERVICE nenda muhimbili ulizia muhusika wa Air conditioning anavofanya kazi ya ku store and preserve BLOOD & TISSUE au nenda any processing food industry uliza how to preserve FOOD in FROZEN condition nenda TBS waulize wanathibitisha vipi baadhi ya vyakula [emoji23][emoji23]we ukiskia ARTISAN akili inakimbilia kushika Spaner na kufunga AC [emoji23][emoji23]offcourse ni moja ya majukumu lakini jiulize kwanza AIR CONDITION ni nini sio kulopoka kama umewekewa ice cream ya nyama mdomoni....mbona unaniangusha IT wangu wa sekretaliet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aise wakuu, acheni mabishano, mnaonesha udhaifu wenu, hapa tuletage hoja na faraja, liishe hili bifu tafadhali
 
Sio kusoma Nchi...Yani hizo vitu ni uelewa wa kawaida wa darasa la saba... Sasa kama hicho tu huelewi...Kwann wajanja wasikuingize Mkenge Ukasome Degree ya Kutengeneza AC na Mafridge Daaahh ila hii nchi wajinga hawatakaa waje kuisha 🤣🤣
Acheni majibizano haya wakuu, mnaharibu uziii!!! Mmoja akaushe basi, vijembe mpaka lini banaa! Tupeane updates
 
Mzee baba ITpersonel nimekuchek inbox kaka
 
Dah kuna Mda unafika unatamani kugive up lakin ukicheki nyuma yako wanaokufwata unaamka tena unaanza mapambano upya ukicheki mbele yako unaona kuna vitu vingi sana unatakiwa uvitimize, yote ya yote ukicheki na wazazi walivyokuwa wanafight ufike hapo ulipo ndo kabisa unazidisha mapambano mara dufu, eeh Mwenyezi Mungu tunyooshe mkono wako Sote tukapate kazi tuna mengi Sana moyoni
 
Mkuu Ukiona Mzigo Unakuwa Mzitoo sanaa Ujue ndio Umekaribia kufika Keep trust ..... Kuna shuhuda humu from Dec 11.... Na hayo majina yatakayokuja sio ya Mbuzi au Ngombe.... Bali ni ya watu ...na wewe ndio humo kwenye hilo kundi la watu Sheikh .... So.inawezekana kwenye hiyo list ya watu na mtu wewe Upo 💪
 
🙏Amina mkuu na ikawe ivyo
 
majobless inatakiwa tupendane haya inno jembe mpe IT personel mkono..

Ni sehemu ya kuchangamsha uzi tu wala akuna bifu lolote boss[emoji23][emoji23][emoji23]sijajua mwenzangu ila kwangu mm ni taarabu tu zakupamba Pamba pdf zinazokuja 11dec mpaka 23dec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…