Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bro sio kila jobless ni kitotokitoto kama wewe anaelipiwa ada kumbe nabisha na watoto mlioko nyumbani[emoji1488][emoji847]SORRY SIKUJUA basi uwezi ONA najibizana na wewe uwenda ki umri ni sawa na mwanangu EVANCE [emoji1434]SEE YOU AGAIN I CANT REPLY ANYTHING FROM YOU MTOTO WETU
Mkuu Kama Ni Mkubwa na Bado Huna kitamburisho na Hujui barua za utamburisho nani anatoa... Hizo AC zinaenda kuungua Maana kichwani ni mweupe Cz umesoma Vyuo vya uchochoroni form 4 failure.... Yani Shule imeshindwa kukusaidia..... Bro unawaza Bachelor ya Ufundi AC🤣🤣 Kweli Akili ni Nywele kubabekiii
 
  • Thanks
Reactions: 10k
Mkuu Kama Ni Mkubwa na Bado Huna kitamburisho na Hujui barua za utamburisho nani anatoa... Hizo AC zinaenda kuungua Maana kichwani ni mweupe Cz umesoma Vyuo vya uchochoroni form 4 failure.... Yani Shule imeshindwa kukusaidia..... Bro unawaza Bachelor ya Ufundi AC[emoji1787][emoji1787] Kweli Akili ni Nywele kubabekiii

Sijasomea nchini that’s WHY sielewi formal za nchi yangu so keep waiting bro don’t panic[emoji23]ukiishiwa MB njoo inbox ntakutumia boy
 
asee kuna waliowahi kupiga pepa la mansor and bricklaying vocational teacher VETA , watupe hints za maswali ya written.
kuna hawa nimeona wameitwa usaili wa vitendo
1702119650570.png
 
Mtu unaukaushia Uzi kwa mda kidogo,
Unarudi unakuta unread messages nyingi unaanza kuwaza huenda kuna jipya humu, then unakutana na tambo tu.
Kaushianeni bana kila mtu aendelee na mishe zake.

Mkuu ITpersonel endelea kutupa za ndani kaka asiye kuamin mkaushie. Dont loose your energy unnecessarily. Naamin hauko humu ku prove chochote au una lipwa bro? Binafsi unanipa matumaini in one way or another, bado tunahitaji watu kama akina makofia360 bana
 
Sijasomea nchini that’s WHY sielewi formal za nchi yangu so keep waiting bro don’t panic[emoji23]ukiishiwa MB njoo inbox ntakutumia boy
Sio kusoma Nchi...Yani hizo vitu ni uelewa wa kawaida wa darasa la saba... Sasa kama hicho tu huelewi...Kwann wajanja wasikuingize Mkenge Ukasome Degree ya Kutengeneza AC na Mafridge Daaahh ila hii nchi wajinga hawatakaa waje kuisha 🤣🤣
 
Sina hakika na kanuni zao, ila nachofahamu Written ni kwa ajili ya kuchuja tu, na ndio maana idadi ikiwa ndogo hutakuta written hata iweje,

Ila watu wakiwa wengi lazima iwepo

Practical na Oral ndio mkenge unapokuwa ikiwa utajichanganya maana hata ujibu vipi vizuri written na upate mia kwenye practical mwezako akikuacha mbali atapewa yeye maana anajua, afu wewe inawezekana umemeza tu madesa

Oral na Practical ndio msingi , written ni shortlisting tu japo pia itakuwa considered pia kwenye baadhi ya masuala
 
Sio kusoma Nchi...Yani hizo vitu ni uelewa wa kawaida wa darasa la saba... Sasa kama hicho tu huelewi...Kwann wajanja wasikuingize Mkenge Ukasome Degree ya Kutengeneza AC na Mafridge Daaahh ila hii nchi wajinga hawatakaa waje kuisha [emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23]just I little mental ya watu weusi ufundi (engineering) sio kutengeneza vibovu tu kama mafundi mchundo walivowakalilisha just DESIGN,REPAIR,SERVICE nenda muhimbili ulizia muhusika wa Air conditioning anavofanya kazi ya ku store and preserve BLOOD & TISSUE au nenda any processing food industry uliza how to preserve FOOD in FROZEN condition nenda TBS waulize wanathibitisha vipi baadhi ya vyakula [emoji23][emoji23]we ukiskia ARTISAN akili inakimbilia kushika Spaner na kufunga AC [emoji23][emoji23]offcourse ni moja ya majukumu lakini jiulize kwanza AIR CONDITION ni nini sio kulopoka kama umewekewa ice cream ya nyama mdomoni....mbona unaniangusha IT wangu wa sekretaliet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aise wakuu, acheni mabishano, mnaonesha udhaifu wenu, hapa tuletage hoja na faraja, liishe hili bifu tafadhali
 
Sio kusoma Nchi...Yani hizo vitu ni uelewa wa kawaida wa darasa la saba... Sasa kama hicho tu huelewi...Kwann wajanja wasikuingize Mkenge Ukasome Degree ya Kutengeneza AC na Mafridge Daaahh ila hii nchi wajinga hawatakaa waje kuisha 🤣🤣
Acheni majibizano haya wakuu, mnaharibu uziii!!! Mmoja akaushe basi, vijembe mpaka lini banaa! Tupeane updates
 
KUNA JAMAA NIMEMTUMIA UJUMBE KUHUSU LEO PLACEMENT .... KAMA LEO ITATOK AU HAITOKI NA YUPO ACTIVE KILA SIKU ....NAOMBA HIYO SMS ISCREESHOOT THN KESHO MUDA KAMA HUU NAOMBA IWEKWE HAPA KWENYE GROUP....ASANTE.

SASA HIVI NI SAA 12:51 AMENIULIZA INBOX NA NIMEMJIBU SURE KABISA ... SO NAKUOMBA VYOVYOTE ITAKVYOKUWA UTUME HIYO SCREENSHOOT YA NILICHOKUJIBU.
-----------------------------
Huyu Ujinga mtupu nitakutumia majina mawili ya watu watakaotoka kwenye pdf j.3 (11) wewe ni mpinzani mkubwa sana , naomba hayo majina usipoyaona naomba uni prove wrong
Mzee baba ITpersonel nimekuchek inbox kaka
 
Dah kuna Mda unafika unatamani kugive up lakin ukicheki nyuma yako wanaokufwata unaamka tena unaanza mapambano upya ukicheki mbele yako unaona kuna vitu vingi sana unatakiwa uvitimize, yote ya yote ukicheki na wazazi walivyokuwa wanafight ufike hapo ulipo ndo kabisa unazidisha mapambano mara dufu, eeh Mwenyezi Mungu tunyooshe mkono wako Sote tukapate kazi tuna mengi Sana moyoni
 
Mkuu Ukiona Mzigo Unakuwa Mzitoo sanaa Ujue ndio Umekaribia kufika Keep trust ..... Kuna shuhuda humu from Dec 11.... Na hayo majina yatakayokuja sio ya Mbuzi au Ngombe.... Bali ni ya watu ...na wewe ndio humo kwenye hilo kundi la watu Sheikh .... So.inawezekana kwenye hiyo list ya watu na mtu wewe Upo 💪
 
🙏Amina mkuu na ikawe ivyo
 
majobless inatakiwa tupendane haya inno jembe mpe IT personel mkono..

Ni sehemu ya kuchangamsha uzi tu wala akuna bifu lolote boss[emoji23][emoji23][emoji23]sijajua mwenzangu ila kwangu mm ni taarabu tu zakupamba Pamba pdf zinazokuja 11dec mpaka 23dec
 
Back
Top Bottom