KUNA JAMAA NIMEMTUMIA UJUMBE KUHUSU LEO PLACEMENT .... KAMA LEO ITATOK AU HAITOKI NA YUPO ACTIVE KILA SIKU ....NAOMBA HIYO SMS ISCREESHOOT THN KESHO MUDA KAMA HUU NAOMBA IWEKWE HAPA KWENYE GROUP....ASANTE.
SASA HIVI NI SAA 12:51 AMENIULIZA INBOX NA NIMEMJIBU SURE KABISA ... SO NAKUOMBA VYOVYOTE ITAKVYOKUWA UTUME HIYO SCREENSHOOT YA NILICHOKUJIBU.
-----------------------------
Huyu
Ujinga mtupu nitakutumia majina mawili ya watu watakaotoka kwenye pdf j.3 (11) wewe ni mpinzani mkubwa sana , naomba hayo majina usipoyaona naomba uni prove wrong