Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nasubiria kwa hamu hizo pdf mkuu
 
Yes Ndio, J.pili Unalala Kama Jobless J.3 Unaamka Mtumishi wa Uma Ndio Ni Officer wa Serikali And the rest will remains History, Zile dharau, Nyodo, Manyanyaso ,kuonekana Hohe hahe.., Hauna future, Upo upo tu, Kudharauliwa kuambiwa unnachagua kazi, Kutumwa tumwa ovyo, kufananishwa na watoto wa jirani waliofanikiwa OYAAAAAAAA.....Lets wait & save the Date 11/Dec......23/Dec.... Ni Jina Lako, Ni wakati wako wa kushine , Wakati wa kuinuliwa ,wakati wa kurudisha heshima yako iliyopotea, wakati wa kupigiwa simu mara kwa mara na kuombwa ushauri na msaada , wakati waliojitenga kuanza kusema yaliyopita sio ndwele💪....Jipige pige kifuani Sema Mungu, Huuu ni wakati wangu.......💪💪💪
 
Hizo PDF zije zije shuhuda ziwe nyingiiii.
 
Daah,Mungu atusaidie
 
kuambiwa unachagua kazi dah umenikumbusha mbali..🤣 🤣
 
Ameen, let it be kwa hisani ya the most high the Almighty God. All the best to all of us in waiting vain, this month Yes💪🔥🔥🔥
 
[emoji23][emoji23]ulikuwaje mkuu? Hivi wakati mwingine mtu unatoka unajua kabisaa hapa nimekandwa eeh. Maana Kuna mwanangu mmoja katoka tu kasafiri zake kwenda Mwanza [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
mie kuna interview walichelewesha matokeo ya oral nikaashum nimekandwa nikapanda zangu basi nikaondoka, basi limefika morogoro naangalia simu naona nimechaguliwa oral ikabidi nigeuze.oral nilijibu upuuzi walinikanda nikajuta bora ningeendelea na safari tu..
 
Hata database hawakukuweka😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…