Yes Ndio, J.pili Unalala Kama Jobless J.3 Unaamka Mtumishi wa Uma Ndio Ni Officer wa Serikali And the rest will remains History, Zile dharau, Nyodo, Manyanyaso ,kuonekana Hohe hahe.., Hauna future, Upo upo tu, Kudharauliwa kuambiwa unnachagua kazi, Kutumwa tumwa ovyo, kufananishwa na watoto wa jirani waliofanikiwa OYAAAAAAAA.....Lets wait & save the Date 11/Dec......23/Dec.... Ni Jina Lako, Ni wakati wako wa kushine , Wakati wa kuinuliwa ,wakati wa kurudisha heshima yako iliyopotea, wakati wa kupigiwa simu mara kwa mara na kuombwa ushauri na msaada , wakati waliojitenga kuanza kusema yaliyopita sio ndwele💪....Jipige pige kifuani Sema Mungu, Huuu ni wakati wangu.......💪💪💪