Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Nami nawaza sana mtu unajuaje kama upo database au ndo kujipa moyo tu kuwa nitakuwepo.au mambo ya selected for oral inakupa moyo kuwa upo database.?
Yaan hapa nikuhesabu idadi ya waliopata placement kwenye kada yako
Ikifika hadi mwaka umeisha hujaitwa Basi kwisha habari
 
Kuna kitu nimenote, vijana wa TEHAMA wanachagua kazi za kuomba. Ukiangalia idadi ya vijana wa Tehama waliofanya interview TRA ni kubwa 800+ na waliofanya LGA/MDA juzi mwezi November hawazidi 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…