Kipusa Junior
Member
- Feb 25, 2023
- 31
- 67
Hivi kwa hizi Taasisi za government ukiachilia mbali tuseme salary kuna kiingne kinakuwa offered??Sio haba wakikatakata hapo unaondoka na chochote kitu laki 9 hukosi.
Mshahara Pekee ndo unaingia kwa acc ya bank.Hivi kwa hizi Taasisi za government ukiachilia mbali tuseme salary kuna kiingne kinakuwa offered??
Mfano, hv kama Taasisi private ukiachilia mbali salary, unapata mara posho ya usafiri, posho ya Kodi ya nyumba, posho ya vocha n.k
Na zote mara nyingi zinawekwa kwa kila mwezi pamoja na salary.
Nisaidieni hapo kwa ufafanuzi wakuu.
Hakuna posho inawekwa kwenye mshahara kwa huku serikalini. Hizo taasisi zinazotoa Transport na housing allowance zipo zile zenye makusanyo. Perdiem hizi sio constant unaweza kukaa hata miezi 6 bila safariHivi kwa hizi Taasisi za government ukiachilia mbali tuseme salary kuna kiingne kinakuwa offered??
Mfano, hv kama Taasisi private ukiachilia mbali salary, unapata mara posho ya usafiri, posho ya Kodi ya nyumba, posho ya vocha n.k
Na zote mara nyingi zinawekwa kwa kila mwezi pamoja na salary.
Nisaidieni hapo kwa ufafanuzi wakuu.
mambo tayari uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushauri kama private sector na wanalipa vizuri + hivyo vitu vingine achana na kazi za serikalini. Usije ukapata depression bure! Kuna Dr ameajiriwa serikalini hivi karibuni amejikuta kwenye mshangao baada ya kuona atalipwa kiwango kidogo sana tofauti na vile alitegemea na tena kupangiwa kituo cha kazi cha kijijini. Private alikuwa anakunja 5M, hulu sasa...nadhani inaeleweka Salary scale yake!!Hivi kwa hizi Taasisi za government ukiachilia mbali tuseme salary kuna kiingne kinakuwa offered??
Mfano, hv kama Taasisi private ukiachilia mbali salary, unapata mara posho ya usafiri, posho ya Kodi ya nyumba, posho ya vocha n.k
Na zote mara nyingi zinawekwa kwa kila mwezi pamoja na salary.
Nisaidieni hapo kwa ufafanuzi wakuu.
1.48M kabla ya makato.Nakushauri kama private sector na wanalipa vizuri + hivyo vitu vingine achana na kazi za serikalini. Usije ukapata depression bure! Kuna Dr ameajiriwa serikalini hivi karibuni amejikuta kwenye mshangao baada ya kuona atalipwa kiwango kidogo sana tofauti na vile alitegemea na tena kupangiwa kituo cha kazi cha kijijini. Private alikuwa anakunja 5M, hulu sasa...nadhani inaeleweka Salary scale yake!!
Iliongezeka baada ya ongezeko la mama now ni 1,530,000 syo 1,480,0001.48M kabla ya makato.
Kusema ukweli serikali usipofanya biashara au kilimo au kuwa fisadi utastaafu na ndoto zako kichwani.
Mwambie vizuri kwenye afya tena kwenya TAASISI tu, asije kwenda halmashauri kichwa kichwa akapangiwa Zahanati akaanza kuomba wagonjwa buku buku za dawa watamshitaki kwa diwanikwenye afya kuna hela za kumwaga
Zahanati tena, hakuna umeme, maji Wala barabara za kueleweka ni hatariMwambie vizuri kwenye afya tena kwenya TAASISI tu, asije kwenda halmashauri kichwa kichwa akapangiwa Zahanati akaanza kuomba wagonjwa buku buku za dawa watamshitaki kwa diwani
Ongezeko lile ni Annual Increment kwa wale waliokuwa kazini ila ukianza kazi utakutana na ileile 1.48 ili kukutofautisha na seniorIliongezeka baada ya ongezeko la mama now ni 1,530,000 syo 1,480,000
Ma tiss wameanza training?Hakuna shuhuda humu Email za TRA walizokuwa wanapost wasailiwa kuhusu kuaza training Ni kwel Ijumaa waliaza.......
Tuache kurefresh email kila mara
hio ya internal ilivuja.....Ma tiss wameanza training?
Taking tra na NSSF as a case study.
Sioni sababu ya kwanin nitamani utumishi wakae pembeni na taasis zishike mpini. Na kwa hii system ya kuitana kwa emails naamin kuna watu wameenda kuriport kazin bila ata kupiga interview.
Mwingine nae et nafasi za entry level zinakuwa internal vacancies na wanapost publicly, ya kazi gani sasa? Si bora wangetumiana kwenye magriup yao ya watsap. Mambo ni meng sana huko na bado tutaona mengi sana.
Hapana Mkuu iko hivo kwa MD nayeanza ni TGHS E1 1,530,000.Ongezeko lile ni Annual Increment kwa wale waliokuwa kazini ila ukianza kazi utakutana na ileile 1.48 ili kukutofautisha na senior
Mkuu ni balaa hapa sasa Iv ninavyoandika hii post Usiku huu nimempeleka mama mjamzito zahanati ni kilomita 9 mvua imenyesha Barabara haipitiki ni full utelezi.Zahanati tena, hakuna umeme, maji Wala barabara za kueleweka ni hatari
Pole mkuuMkuu ni balaa hapa sasa Iv ninavyoandika hii post Usiku huu nimempeleka mama mjamzito zahanati ni kilomita 9 mvua imenyesha Barabara haipitiki ni full utelezi.
Pole sana kiongoziMkuu ni balaa hapa sasa Iv ninavyoandika hii post Usiku huu nimempeleka mama mjamzito zahanati ni kilomita 9 mvua imenyesha Barabara haipitiki ni full utelezi.
Pole Sana Mkuu ndyo tz yetuMkuu ni balaa hapa sasa Iv ninavyoandika hii post Usiku huu nimempeleka mama mjamzito zahanati ni kilomita 9 mvua imenyesha Barabara haipitiki ni full utelezi.
Wewe ni muongo Dk alipwe million 5 huyo Dr wa nini ?Nakushauri kama private sector na wanalipa vizuri + hivyo vitu vingine achana na kazi za serikalini. Usije ukapata depression bure! Kuna Dr ameajiriwa serikalini hivi karibuni amejikuta kwenye mshangao baada ya kuona atalipwa kiwango kidogo sana tofauti na vile alitegemea na tena kupangiwa kituo cha kazi cha kijijini. Private alikuwa anakunja 5M, hulu sasa...nadhani inaeleweka Salary scale yake!!
Mambo gani?mambo tayari ukoππππ
Ndio maana vijana wanapowabeza PSRS hapa mimi huwa nawaangaliaaa halafu nasema wangejua yanayoendelea huko kwenye taasisi wangekaa kimya na kuomba Mungu PSRS iongezewe nguvu taasisi zote zirudi na hadi kazi za mkataba na kujitolea zote zisimamiwe na UtumishiMa tiss wameanza training?
Taking tra na NSSF as a case study.
Sioni sababu ya kwanin nitamani utumishi wakae pembeni na taasis zishike mpini. Na kwa hii system ya kuitana kwa emails naamin kuna watu wameenda kuriport kazin bila ata kupiga interview.
Mwingine nae et nafasi za entry level zinakuwa internal vacancies na wanapost publicly, ya kazi gani sasa? Si bora wangetumiana kwenye magriup yao ya watsap. Mambo ni meng sana huko na bado tutaona mengi sana.