Kipusa Junior
Member
- Feb 25, 2023
- 31
- 67
Hivi kwa hizi Taasisi za government ukiachilia mbali tuseme salary kuna kiingne kinakuwa offered??Sio haba wakikatakata hapo unaondoka na chochote kitu laki 9 hukosi.
Mfano, hv kama Taasisi private ukiachilia mbali salary, unapata mara posho ya usafiri, posho ya Kodi ya nyumba, posho ya vocha n.k
Na zote mara nyingi zinawekwa kwa kila mwezi pamoja na salary.
Nisaidieni hapo kwa ufafanuzi wakuu.