Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi kwenye usaili ikitokea katika Oral swali likawa wanataka useme points 5 ukaishia kutaja 4, inaweza kua sababu ukakosa kazi yan wakalikata swali zima..?
 
Inategemeana na ulivyo jibu. Labda hzo point zako 4 ulizotaja sio majibu sahihi , automatically utakosa hyo kazi.
Ila kama hzo point zako 4 ni majibu sahihi basi utapewa masks kutokana na ulivyo jibu.
 
Inategemeana na ulivyo jibu. Labda hzo point zako 4 ulizotaja sio majibu sahihi , automatically utakosa hyo kazi.
Ila kama hzo point zako 4 ni majibu sahihi basi utapewa masks kutokana na ulivyo jibu.
Nisahihi ni kwamba kuna mwenzangu kasema ikiwa hukujibu point 1 kati ulizoulizwa swali zima unafutiwa asee had kanitisha
 
Nisahihi ni kwamba kuna mwenzangu kasema ikiwa hukujibu point 1 kati ulizoulizwa swali zima unafutiwa asee had kanitisha
amna kitu kama icho we tulia unaweza ukajibu maswali yote na ukafeli kuliko aliyejibu 4 mbona mie mwenzio nilijibu swali 1 tu la introduction lakin kila saa nachungulia placement na ninauhakika nitatoboa tu..
 
Kwa Hesabu Za Haraka Haraka , Kama TRA wangeenda Tena Utumishi wawafanyie Usaili ili Kupata Candidate...IT means mpka muda huu hao TRA wasingekuwa wamepata watu wao (japo walikuwa wa connection).

Kuna watu walifanya interview ya shuwasa...Siku Moja kabla ya TRA mpka leo wanakula Vumbi Bila tumaini.... Kazi kuli fresh page.
 
Utumishi ni jipu kubwa sana wakuu
 
Mtu unatamani ujue tu kama umepata au hujapata uendelee na mambo mengine, unakaa miezi mingi unafikiria mpaka unaanza kukumbuka maswali na kujihesabia marks vitu ambavyo havina uhalisia. Haya ni mateso ya kisaikolojia mwaka huu ndio nimeyapata na kuingia oral mbili nachungulia hakuna hata moja waliyojibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…