El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kuna pdf uko la matokeo ya usail TA lakin..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenye usaili ikitokea katika Oral swali likawa wanataka useme points 5 ukaishia kutaja 4, inaweza kua sababu ukakosa kazi yan wakalikata swali zima..?
true..Inatokana na kompitita wenzio wamejibuje kwa maana pale ni sehemu ya ushindani
sio sababu ila posibility ya kukandwa inaongezekaHivi kwenye usaili ikitokea katika Oral swali likawa wanataka useme points 5 ukaishia kutaja 4, inaweza kua sababu ukakosa kazi yan wakalikata swali zima..?
Duh!! Kwahiyo wote wanapata Kazi hua wanajibu maswali yote kwa usahihi bila kushindwa hata swali 1..?sio sababu ila posibility ya kukandwa inaongezeka
Ikatokea nimejibu izo points wakahitaji niendelee kutaja, halafu mmoja Kati yao akasema it's enough twende swali jingine hii inamaanisha Nini?sio sababu ila posibility ya kukandwa inaongezeka
Nisahihi ni kwamba kuna mwenzangu kasema ikiwa hukujibu point 1 kati ulizoulizwa swali zima unafutiwa asee had kanitishaInategemeana na ulivyo jibu. Labda hzo point zako 4 ulizotaja sio majibu sahihi , automatically utakosa hyo kazi.
Ila kama hzo point zako 4 ni majibu sahihi basi utapewa masks kutokana na ulivyo jibu.
Duh!! Kwahiyo wote wanapata Kazi hua wanajibu maswali yote kwa usahihi bila kushindwa hata swali 1..?
amna kitu kama icho we tulia unaweza ukajibu maswali yote na ukafeli kuliko aliyejibu 4 mbona mie mwenzio nilijibu swali 1 tu la introduction lakin kila saa nachungulia placement na ninauhakika nitatoboa tu..Nisahihi ni kwamba kuna mwenzangu kasema ikiwa hukujibu point 1 kati ulizoulizwa swali zima unafutiwa asee had kanitisha
😂😂😂 Nimecheka had mawazo yamepoteaamna kitu kama icho we tulia unaweza ukajibu maswali yote na ukafeli kuliko aliyejibu 4 mbona mie mwenzio nilijibu swali 1 tu la introduction lakin kila saa nachungulia placement na ninauhakika nitatoboa tu..
🤣 🤣 usijali maswali 4 mengi sana ayo yanatosha kukutoa..😂😂😂 Nimecheka had mawazo yamepotea
Kwa Hesabu Za Haraka Haraka , Kama TRA wangeenda Tena Utumishi wawafanyie Usaili ili Kupata Candidate...IT means mpka muda huu hao TRA wasingekuwa wamepata watu wao (japo walikuwa wa connection).
Kuna watu walifanya interview ya shuwasa...Siku Moja kabla ya TRA mpka leo wanakula Vumbi Bila tumaini.... Kazi kuli fresh page.
yaani na huyo waziri simbachawene ni kama tikiti tu limewekwa mezani...Utumishi ni jipu kubwa sana wakuu
[emoji23]yaani na huyo waziri simbachawene ni kama tikiti tu limewekwa mezani...
Dah! Kuna hiyo moja nilienda, nilikuwa sijui hata naenda kulala wapi hata nauli ilikuwa ya kuunga.bora yafe tu hayo majengo yafugiwe popo sjaona faida yao kuchomesha watu nauli tu mamamae zao
si unaona sasa..Dah! Kuna hiyo moja nilienda, nilikuwa sijui hata naenda kulala wapi hata nauli ilikuwa ya kuunga.