Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

umeona sasa
 
Kuna Raha yake asee fikiria mwaka 2023 ulikuwa jobless alafu mwaka 2024 unakukuta uko kwa HR anakushughulikia taarifa zako alafu on time unaanza kazi January 2024 dah Mungu tusimamie tujalie pdf zitakazofwata majina yetu yawemo, ntalala ofisi ntafanya kazi kuliko mchwa na nyuki asee pana Raha wakuu
 
Ukizoea mshahara utaanza kutegea mkuuπŸ˜‚
 
Guys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi

Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Hongera sana mkuu, hongera sana kwa kulamba asali, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wako
 
Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu yaan mpaka weekend ntakuwa natimba ofisini ata kama hamna kazi ntajitolea kufanya ata usafi, we🀣🀣🀣🀣 kitaa kisikie Tu🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…