ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Pdf naona zitaendelea tu tujipe matumain
TANAPA wamezoa zoa PDF la kufungia mwaka hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANAPA wamezoa zoa PDF la kufungia mwaka hili
Yeah..Pdf naona zitaendelea tu tujipe matumain
umeona sasaWAKUU HABARI.
Mimi naona nikate Tamaa kwa niliyosikia Tetesi.... Utumishi wataita tu watu ila tunatakiwa tuwe watulivu,sana... Kwa sababu serikali inafanya process za yale mashirika yaliyovunywa kuhamisha wale watumishi katika taasisi nyengine... Ndio maana kuna kimya kikubwa hapa kati.
MFano ;- kuna taasisi A ilikuwa inahitaji watu, basi badara ya kupelekwa wewe ataenda yule aliyetoka taasisi ambayo imevunjwa kama ana sifa za kada husika. Mfano ; ww ni afisa hesabu na yy ni afisa hesabu.
so majina yatatoka either yawahi au yachelewe but sio kwa kiwango kile, na hii imesababishwa na hilo jambo.
so kazi ya sekretariet ya ajira sasa, ni ku mobilize kwanza wale watumishi thn watatu solve na sisi. Asanteni na kwa herini maana nitaenda offline kwa muda wa mwezi mmoja.
Nimeweka bundle takribani miezi 2 mtawalia hili la kuvunja taasisi litatucheleweshea placement kwa namna moja au mbili.
Ukizoea mshahara utaanza kutegea mkuu😂Kuna Raha yake asee fikiria mwaka 2023 ulikuwa jobless alafu mwaka 2024 unakukuta uko kwa HR anakushughulikia taarifa zako alafu on time unaanza kazi January 2024 dah Mungu tusimamie tujalie pdf zitakazofwata majina yetu yawemo, ntalala ofisi ntafanya kazi kuliko mchwa na nyuki asee pana Raha wakuu
Tanapa watu wamechukua jobless wengi kinomamikeka yote ingekua inatoka kama hivi sa hivi uzi ungekua umeshabadilishwa jina.
😆😆😆 Wee sio kwa izi hustle, yaan kazi itakuwa ndo starehe yangu😆😆😆Ukizoea mshahara utaanza kutegea mkuu😂
Hongera sana mkuu, hongera sana kwa kulamba asali, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wakoGuys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi
Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
watu wanaenda kusherekea x-mass na tembo uko..Tanapa watu wamechukua jobless wengi kinoma
Ziwa la asali
Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhama😂😂😂😆😆😆 Wee sio kwa izi hustle, yaan kazi itakuwa ndo starehe yangu😆😆😆
Hongera Sana MkuuGuys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi
Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Hongera sana mkuuGuys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi
Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Mkuu yaan mpaka weekend ntakuwa natimba ofisini ata kama hamna kazi ntajitolea kufanya ata usafi, we🤣🤣🤣🤣 kitaa kisikie Tu🤣🤣🤣Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhama😂😂😂