Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hata Mimi namshangaa na anajisifu, humu Kuna watu wako EWURA wanamshangaa tu,
Mimi huko EWURA sijui wapi, wala sitaki... Nataka huu huu ndio saizi yangu. Alafu nikiona kama haunitoshi kuhama Taasisi kwenda Taasisi ni rahisi sana compare na kuhama halmshauri kwenda Taasisi cz ni vitu viwili tofauti.

Pia mimi kwenda Ewura / sijui Tanroads Hq / sijui TCRA sifanyi interview ila natakiwa nifanye connection tena ni rahisi kuliko ambaye bado hujaingia kwenye system alafu unataka kwenda Tanroads maana yake ukifanya interview hujui utapangiwa wapi ....Umeona apoooo enhhh, nimepigaje?? 🀣🀣

Wakati mimi naweza hata kesho kuambiwa hamia tanroads cz nina cheque number tayari
 

aisee inaoenekana hujawahi shika pesa, hio pesa subiri uzoee hio kazi utarudi hapa, watu tunakwambia from experience, me mwenyewe ni mtumishi na nina basic zaidi ya hio unayopata na posho za hapa na pale ila maisha hayajawahi kua rahisi ka unavyofikiria...tena kama ndo muhasibu ndo kabisa nyie sio watu wa site so safari zitakua za manati.
 
Huko EWURA, TANROAD ,TCRA, BANDARI now kuhamis rahisi sanaaaa cz ni suala la connection tuuu... Cz una cheque number...

Thn hata nikitaka nakuwa nafanya bila pressure cz huku kwenye kunene huko inaweza ikazidi laki 7 tuu... Labda na viposho. But wewe ambaye hujaingia au upo halmashauri ndio balaaa unalo kuhama, cz mimi kukutana na hao wadau is just a minutes... Sasa wewe ukikaaa umekaaa, hata chance ya maonyesho ya sababa hakuna... Hata international meeting na wadau hakuna ..So huko Tanroad hakunitishi nikitaka naenda.
 
Aiseee
 
Ilo eneo haliwezi kuwa jiji au maanispaa ni halmashauri ya wilaya probably au ofisi ya mkuu wa wilaya
 
Acha ufujaji boss... Take home ya 1.3 haikutoshi?? Unaishije unakuwaje na michepuko jobless ? Hao ndio wanaokutia shoti.... Maana tuseme hata ule 30 perday unakula nini?? Unanunua nguo mpya kila mwezi?? .. kwa hela hiyo umeshindwa anzisha biashara yoyote ile hata iingize elfu 7 kwa siku?? NYIE wasomii ndio maana darasa la saba wanatupiga Gape .. take home 1.3 unasema maisha magumu 🀣🀣🀣 kuna mtu anapata faida kwa siku 10 na halalamiki maisha magumu kama wewe....

Kwa ulalamikaji huo hata ulipwe milioni 20 utalalamika tuu
 
Boss punguza kidogo jeuri, majigambo na majisifuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Taja kwanza taasisi uliopo
 

sina neno, njoo tuongee baada ya mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…