Mkuu M 1.6+ , thn huna mkopo board thn hapo una lower expectation kwa kigezo gani?? Yani huo mshahara ni mdogo??? Aiseee....
Thn sisi tunaojifanya tumesoma actually kiuhalisia hatuna akili, niogope kuishi kwa salary hiyo?? Mimi hata hiyo TGS B still ningetamba na ningetoboa tu. Kuna jamaa wanauzaga maji barabarani na wanafamilia ... Thn mpe hiyo kazi yako ya 450,000/= kwa mwaka thn uone atakavyokuwa katoboa.
Kupata kazi Taasisi ilikuwa kama bahati, ila hata halmashauri bado ningefurahi na kutamba hivi, Wewe hapo ukiambiwa una balance hata ya 1 M kwenye account huna. Thn mnasema sijui lower your expectation mshahara utaku suprise.... Yani ujobless unitese ,nipate tena kazi mshahara unitese mimi hata 400,000/= take home isingenitesa... Ukiwa na akili hela nyingi sana hiyo, unakopea bank hadi Million 30. Na dhamana ndio hiyo laki 4 unayoonea ndogo.