Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

we jamaa ni limbuken sana alafu inawezekana bado ni mtoto uko kwa shemej yko. Maisha yangekuwa rahis hivyo watumish weng wa umma wangekuwa mabilionea. acha utoto
 
sina neno, njoo tuongee baada ya mwaka mmoja.
Mkuu baada ya mwaka Mmoja hata kama nitaamua nisifanye biashara yoyote ile.... Baada ya mwaka nitakuwa na Akiba ya Millioni 6.

Maana kutoka 1.3 kwa mwezi... Nitaishi maisha ya laki 8 tu. Thn laki 6 nitaweka akiba....

Kwann nitaishi maisha ya laki 8? Kama kuna watu humu take home wanakunja laki 4 na wanaishi mimi nishindwe kuishi kwa laki 8??? Ni hesabu tuuu na ndio maana matajiri tutaendelea kuwa wachache na masikini mtakuwa wengi...cz mnaishi kwa mkumbo.
 
we jamaa ni limbuken sana alafu inawezekana bado ni mtoto uko kwa shemej yko. Maisha yangekuwa rahis hivyo watumish weng wa umma wangekuwa mabilionea. acha utoto
Sawa Mkuu, ila kwa hiyo hela ...Siwezi sema hainitoshi... Na pia nitachagua Mademu.... Demu hana kazi simtaki. Maana hata wao mwanaume ambaye hana kazi hawamtaki . Maana nitaanza ona hiyo hela ni ndogo.
 
Audacity🤣🤣.....Umeanza kutuita maskin tayar
 
Kupata connection sio kazi rahisi hata kama uko wapi,
Ukienda Tanroads utabaki na salary Yako ya 1.6m labda vinginevyo,
 
Kazi kama Haina extra duty, Posho ya transport, Posho ya Nyumba,nk mambo ni magumu
 
Unaita viposho? Hivi unajua Extra duty ya officer wa EWURA?
 
Mnaripot lin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…