Huko EWURA, TANROAD ,TCRA, BANDARI now kuhamis rahisi sanaaaa cz ni suala la connection tuuu... Cz una cheque number...
Thn hata nikitaka nakuwa nafanya bila pressure cz huku kwenye kunene huko inaweza ikazidi laki 7 tuu... Labda na viposho. But wewe ambaye hujaingia au upo halmashauri ndio balaaa unalo kuhama, cz mimi kukutana na hao wadau is just a minutes... Sasa wewe ukikaaa umekaaa, hata chance ya maonyesho ya sababa hakuna... Hata international meeting na wadau hakuna ..So huko Tanroad hakunitishi nikitaka naenda.