Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Acha ufujaji boss... Take home ya 1.3 haikutoshi?? Unaishije unakuwaje na michepuko jobless ? Hao ndio wanaokutia shoti.... Maana tuseme hata ule 30 perday unakula nini?? Unanunua nguo mpya kila mwezi?? .. kwa hela hiyo umeshindwa anzisha biashara yoyote ile hata iingize elfu 7 kwa siku?? NYIE wasomii ndio maana darasa la saba wanatupiga Gape .. take home 1.3 unasema maisha magumu 🤣🤣🤣 kuna mtu anapata faida kwa siku 10 na halalamiki maisha magumu kama wewe....

Kwa ulalamikaji huo hata ulipwe milioni 20 utalalamika tuu
we jamaa ni limbuken sana alafu inawezekana bado ni mtoto uko kwa shemej yko. Maisha yangekuwa rahis hivyo watumish weng wa umma wangekuwa mabilionea. acha utoto
 
sina neno, njoo tuongee baada ya mwaka mmoja.
Mkuu baada ya mwaka Mmoja hata kama nitaamua nisifanye biashara yoyote ile.... Baada ya mwaka nitakuwa na Akiba ya Millioni 6.

Maana kutoka 1.3 kwa mwezi... Nitaishi maisha ya laki 8 tu. Thn laki 6 nitaweka akiba....

Kwann nitaishi maisha ya laki 8? Kama kuna watu humu take home wanakunja laki 4 na wanaishi mimi nishindwe kuishi kwa laki 8??? Ni hesabu tuuu na ndio maana matajiri tutaendelea kuwa wachache na masikini mtakuwa wengi...cz mnaishi kwa mkumbo.
 
we jamaa ni limbuken sana alafu inawezekana bado ni mtoto uko kwa shemej yko. Maisha yangekuwa rahis hivyo watumish weng wa umma wangekuwa mabilionea. acha utoto
Sawa Mkuu, ila kwa hiyo hela ...Siwezi sema hainitoshi... Na pia nitachagua Mademu.... Demu hana kazi simtaki. Maana hata wao mwanaume ambaye hana kazi hawamtaki . Maana nitaanza ona hiyo hela ni ndogo.
 
Audacity🤣🤣.....Umeanza kutuita maskin tayar
Mkuu baada ya mwaka Mmoja hata kama nitaamua nisifanye biashara yoyote ile.... Baada ya mwaka nitakuwa na Akiba ya Millioni 6.

Maana kutoka 1.3 kwa mwezi... Nitaishi maisha ya laki 8 tu. Thn laki 6 nitaweka akiba....

Kwann nitaishi maisha ya laki 8? Kama kuna watu humu take home wanakunja laki 4 na wanaishi mimi nishindwe kuishi kwa laki 8??? Ni hesabu tuuu na ndio maana matajiri tutaendelea kuwa wachache na masikini mtakuwa wengi...cz mnaishi kwa mkumbo.
 
Mimi huko EWURA sijui wapi, wala sitaki... Nataka huu huu ndio saizi yangu. Alafu nikiona kama haunitoshi kuhama Taasisi kwenda Taasisi ni rahisi sana compare na kuhama halmshauri kwenda Taasisi cz ni vitu viwili tofauti.

Pia mimi kwenda Ewura / sijui Tanroads Hq / sijui TCRA sifanyi interview ila natakiwa nifanye connection tena ni rahisi kuliko ambaye bado hujaingia kwenye system alafu unataka kwenda Tanroads maana yake ukifanya interview hujui utapangiwa wapi ....Umeona apoooo enhhh, nimepigaje?? 🤣🤣

Wakati mimi naweza hata kesho kuambiwa hamia tanroads cz nina cheque number tayari
Kupata connection sio kazi rahisi hata kama uko wapi,
Ukienda Tanroads utabaki na salary Yako ya 1.6m labda vinginevyo,
 
aisee inaoenekana hujawahi shika pesa, hio pesa subiri uzoee hio kazi utarudi hapa, watu tunakwambia from experience, me mwenyewe ni mtumishi na nina basic zaidi ya hio unayopata na posho za hapa na pale ila maisha hayajawahi kua rahisi ka unavyofikiria...tena kama ndo muhasibu ndo kabisa nyie sio watu wa site so safari zitakua za manati.
Kazi kama Haina extra duty, Posho ya transport, Posho ya Nyumba,nk mambo ni magumu
 
Huko EWURA, TANROAD ,TCRA, BANDARI now kuhamis rahisi sanaaaa cz ni suala la connection tuuu... Cz una cheque number...

Thn hata nikitaka nakuwa nafanya bila pressure cz huku kwenye kunene huko inaweza ikazidi laki 7 tuu... Labda na viposho. But wewe ambaye hujaingia au upo halmashauri ndio balaaa unalo kuhama, cz mimi kukutana na hao wadau is just a minutes... Sasa wewe ukikaaa umekaaa, hata chance ya maonyesho ya sababa hakuna... Hata international meeting na wadau hakuna ..So huko Tanroad hakunitishi nikitaka naenda.
Unaita viposho? Hivi unajua Extra duty ya officer wa EWURA?
 
Naomba kuuliza ili uishi Atleast vizuri kidogo, unatakiwa Take home iwe angalau bei gani??
Yani mimi nisipokuwa don baada ya mwaka sijui [emoji1787]...maana kituo changu cha kazi pale yani hapa napiga dua wasije nihamishe....Kwanza ni town ,pili kuna fursa yani ukifika tu mazingira ya pale nje unaona kabisa hawa wananchi wa hapa hawaoni fursa hapa....[emoji1787].
Mimi mshahara ndio utakaonifanya nitoboe wakuu.. ndani ya mwaka nitakuwa nishajipata.

Yani naona kabisa , siwezi kosa gari la million 20. Ndani ya mwaka na nusu tena bila mkopo... Yani watu wa eneo lile nilipofika cz nili survey maana nimefika tu mimi nauliza nahitaji huduma fulani ...eti wananijibu sisi wote huwaga tunafata mjini ...Njieeee [emoji1787][emoji1787] ,yani wananchi wa lile eneo wanakaa na fuko la hela thn wahalioni .
Mnaripot lin?
 
Back
Top Bottom