Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa hao senior lecturers si ndio wakuu wa department ambao nimeshawasemea hapo awali? Unadhani Ww ukiajiriwa utapata hiyo posho?
Hizo extra duty ni Hadi zitokee hizo habari za kusema zipo za kutosha ni kwa kada gani? Ni kwa wote?
Unaweza ukawq senior lecture na usipewe idara..ila hizi extra duty ..watu wa technical ndo wanazifaidi sana..lakini wahasibu hizi pesa zinapita kwao..na wao pia huwaga wanaponea humo humo..ila hasa technical like(IT,Electrical,Civil,Plumbing,medical Lab) N.k ..na wakuuu wa idara kweny kila form lazima na yeye awepo
 
Kaka ukishakuwa lecture ..kuanzia TA to professor lazima ukamsimamie mwanafunzi field labda ukatae utapangwa ndani ya mkoa husika..utapewq nusu per diem..
Sasa hivi naona kuna kitu tena wanaita Lab Scientist sijui hawa ni sawa na technician?
 
- lecturers wanaishi vizuri compared to Mameneja wa TRA wa mikoa? Mameneja wa LATRA wa mikoa? Salary scale ya lecturer ni 4/4.5 M kabla ya makato
Kuhusu kustaafu kwa hiyo age ya 65 najua vizuri Sana na sio Lecturer ni kuanzia Cheo Cha senior lecturer Hadi profesa, hiyo ni baada ya Sheria ya Utumishi wa Umma kufanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa kuleta kifungu Cha 25A cha Sheria ya Utumishi wa Umma, na kimsingi sio senior lecturers to professors ni Hadi medical specialist wa kwenye public hospitals
 
Kaka hapa hatubishani tunaelekezana...mm nmefanya higher institutions learning ...kuhusu 65 ni senior lecture pamoja na medical specialist..kuhusu salary mbona senior lecture kamzidi meneja mkoa..sema hao mameneja wana deals nyingi..but Prof mwenye research yuko mbali sana kumkopea na meneja
 
Labda kama mameneja wamefika mil 7 na zaid hapo sawq..sababu sjui mishahara yao kaka.
 
Achana na huyo jamaa ni mbishi sana kwanza mimi sijaulizia TRA wala LATRA nashangaa hizo habari anaziletaje hapa.
 
Unasimuliwa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…