- lecturers wanaishi vizuri compared to Mameneja wa TRA wa mikoa? Mameneja wa LATRA wa mikoa? Salary scale ya lecturer ni 4/4.5 M kabla ya makato
Kuhusu kustaafu kwa hiyo age ya 65 najua vizuri Sana na sio Lecturer ni kuanzia Cheo Cha senior lecturer Hadi profesa, hiyo ni baada ya Sheria ya Utumishi wa Umma kufanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa kuleta kifungu Cha 25A cha Sheria ya Utumishi wa Umma, na kimsingi sio senior lecturers to professors ni Hadi medical specialist wa kwenye public hospitals