๐๐๐๐๐Hahhhh jobless mwenzio ameimprove kidogoMimi mikono mkuu jobless tunatofautiana viwango๐คฃ๐คฃ
Kanizidi huyo mara mkokoteni, mara lain za uwakala, mara ana Banda la mboga mboga sokoni hatumuwezi huyo mzeee๐คฃ๐๐๐๐๐Hahhhh jobless mwenzio ameimprove kidogo
๐๐๐๐Nae yule chenga nyingi hahhhh aje nimupe suti yangu akapige interviewKanizidi huyo mara mkokoteni, mara lain za uwakala, mara ana Banda la mboga mboga sokoni hatumuwezi huyo mzeee๐คฃ
Najiuliza wanafunzi wanafungua vyuo tutafanyia wapWadau, hii wiki mbona inaisha kimyakimya bila hata kamkeka ka Usaili kipya.. Inamaana Received zote za Mda & lga hizi watazimaliza mwaka huu aua mpaka mwakani..?
Saili zitafanyika jmosi wala hamna shidaNajiuliza wanafunzi wanafungua vyuo tutafanyia wap
Safi sana vijana wanachangamkia fursaMkuu ninabeba maji mtaani hapa ndoo jero napata zangu kama aftatu siku za mwanzo nilikua napata Hadi elfu Tano day now vijana tumekua wengi Kila mtu anabebea mtu maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huwajui psrs wewe ipo siku watakushangaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu tumeingia kupiga pepa unamatuamini ukitoka unaend kupig pepa jingne duh kutoka watu washafnya [emoji1787][emoji1787][emoji2357]
Big up sana mkuuSafi mi nina kakokoteni nalaza sio chini ya 20k
Usije ukamuachia gundu, maana suti yako imefanya placements ziendelee kuwekwa kabatini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nae yule chenga nyingi hahhhh aje nimupe suti yangu akapige interview
Labda watakuwa wanaomba venue siku za weekend ingawa vyuo weekend nayo inatumikaga kupiga Ma CANajiuliza wanafunzi wanafungua vyuo tutafanyia wap
๐๐๐๐Usije ukamuachia gundu, maana suti yako imefanya placements ziendelee kuwekwa kabatini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda wanapatikana kupitia MDAs maana hapa wanapatikana watumishi tofauti kwenye idara tofauti tofauti serikaliniHv wadau hawa PSRS mbona sionagi matangazo yao ya kazi ,wafanya kazi wao wanawapatia wapi au ndo Database inahusika kunyakua watumishi wake huko.
Waliwahi kutoa sijui mwaka jana ileHv wadau hawa PSRS mbona sionagi matangazo yao ya kazi ,wafanya kazi wao wanawapatia wapi au ndo Database inahusika kunyakua watumishi wake huko.
Hapana kama udom pale venue zipo nyingi sana watu watafanya tu bila wasi wasi Kuna ile chimwaga hall hainaga kazi kwahiyo watapelekwa hata hukoLabda watakuwa wanaomba venue siku za weekend ingawa vyuo weekend nayo inatumikaga kupiga Ma CA
Kweli aisee maana kama mpk ss hawatoa majibu na interview juma mosi kama mtu yko kigoma huko au musoma inakuaje hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naendelea kusema kuwa "PSRS hawana undugu na Jobless"
Utumishi wanaamini wwe ratiba unaijua kwahiyo utafata kama ilivyo wahajui kuhusu unatoka mbali au vipi kwahiyo usishangae majibu kutoka usiku afu asubuhi oralKweli aisee maana kama mpk ss hawatoa majibu na interview juma mosi kama mtu yko kigoma huko au musoma inakuaje hapo