Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naendelea kusema kuwa "PSRS hawana undugu na Jobless"
 
Hv wadau hawa PSRS mbona sionagi matangazo yao ya kazi ,wafanya kazi wao wanawapatia wapi au ndo Database inahusika kunyakua watumishi wake huko.
Labda wanapatikana kupitia MDAs maana hapa wanapatikana watumishi tofauti kwenye idara tofauti tofauti serikalini
 
Back
Top Bottom