Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

apply utaitwa tu
 
Mwanzo naanza kufuatilia huu Uzi.

Nikiwa sina receive hata moja wala oral.

Ulikuwa mzuri na wenye kujenga na hoja zilikuwa za maana.

Ila hapa katikati sijui mdudu gani kapita..

Wapumbavu wamekuwa wengi.

Hakuna hoja tena ,wapiga ramli wa UONGO NI WENGI SANA AISEE
 
Mkuu unataka kusema nn[emoji3]
 
Tupo kaka Bado tunatembelea Uzi huu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…