Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hata sisi tumeshafika level za nchi za W/ African kama Nigeria, ukiangalia kwa mwaka huu waombaji wa Green Card rottery wameongezeka mara dufu. Hii ni dalili raia wamechoka kwa ugumu wa maisha chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira.
 
HABARI ZA HIVI PUNDE:

Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Selected for Oral Interview.

Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...

wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.

Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongera sanaa Mwifwa
 
😂😂😂😂😂kiongozi hongera sana umeona nilikwambia angalia mzigo huu lazima uende oral hasa soma sasa ukawakande
 
Nimejikuta nimefurah kwa ajili yako brooo!!!marufuku kukata tamaa
 
Faster sana muanze kupean experience ya kupamban na oral.
Sahau kama umepita hapo kwny Written Hasira na Mipango yote Ihamie namna ya Kujibu na Kutoboa Oral.
Lazima wadau muingie kwny Pdf la placement Au Database.
 
Hongera mkuu hope utapita.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 

Hahaha, Mkuu unatuchanganya tunaosali kukuombea, tumwambie kipi Mungu kwa umepita au hujapita kwenda Oral?

All in all hongera sana Mkuu.
 
This is so great just nimepass mm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani pdf imepandishwa tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…