HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
Ahsante kaka. Ubarikiwe[emoji1431]
Amen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kaka. Ubarikiwe[emoji1431]
Hata sisi tumeshafika level za nchi za W/ African kama Nigeria, ukiangalia kwa mwaka huu waombaji wa Green Card rottery wameongezeka mara dufu. Hii ni dalili raia wamechoka kwa ugumu wa maisha chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira.Kwa sababu mtaani ajira private sector ni chache sana na zilizopo watu wanapeana kwa kujuana na vijana hawana fursa za mitaji kujiajiri , hamna anayependa kwenda kuteseka huko kwenye misululu ya watu 4000 kugombania nafasi 3 ,ni kwamba hali ya wasakatonge ni mbaya mno mtaani .
Ukitaka kujua jinsi hali ya ukosefu wa ajira nchi hii ilivyombaya angalia ratio kati ya Job applicants na job vacancies , fanya maths hapo uone ratio , utabaki kinywa wazi .
Mi kuna muda nahisi tushafika au soon tunafika levels za wenzetu westAfricans kama Nigeria kule ambao ni kiwanda cha kuzalisha criminals na caravans za illegal migrants kwenda Europe kwa Mitumbwi.
Shida ni kwamba sisi watu weusi huwa tunachukulia mambo easy sana , unakuta tunaona magnitude ya tatizo ilivyo ila utakuta hata serikali yenyewe hawaji na real implementatable solution ,ni maneno ya kipuuz na kejeli dhidi ya waganga wa hilo tatizo bila kujua ni ticking time bomb ambayo inaweza matatizo mengi sana ya kijamii .
Ahsante[emoji1431]. Huko oral ni mkando km kawaidaprok hongeraaa Sana
Hongera sanaa MwifwaHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂kiongozi hongera sana umeona nilikwambia angalia mzigo huu lazima uende oral hasa soma sasa ukawakandeHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimejikuta nimefurah kwa ajili yako brooo!!!marufuku kukata tamaaHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Tena ukawakande kwelikweli mpaka wakukabidhi barua hapohapo usisubiri pdf😂😂😂😂😂kiongozi hongera sana umeona nilikwambia angalia mzigo huu lazima uende oral hasa soma sasa ukawakande
😂😂😂😂 Mwifwa njoo tupeane madini ya oral sasa ukachukue kazi hii nafasi ni yako niamini mimiTena ukawakande kwelikweli mpaka wakukabidhi barua hapohapo usisubiri pdf
Hongera mkuu hope utapita.HABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
HABARI ZA HIVI PUNDE:

Sio wew tu let's go together, don't give up life liendeleeBado Mimi tu MDAs & LGAs kalata ya mwisho dah.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
This is so great just nimepass mm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]HABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja tuone mtaani jua Kali adi sio poa.Sio wew tu let's go together, don't give up life liendelee
Kwani pdf imepandishwa tayari?HABARI ZA HIVI PUNDE: