captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Hongera Sana mkuu, kila la kheri katika majukumu yako mkuu. Ukawe mtumishi mwema na mwadilifu.Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.
Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.
Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.
Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.
Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaBaada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.
Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.
Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.
Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.
Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Aise ukifanya oral utumishi sawsaw na mtu anayengoja kufumania maana sio Kwa stress hzi
Mammae siku nilipodaulu oral nilifurahia kama nimepata kazi vile.Aise ukifanya oral utumishi sawsaw na mtu anayengoja kufumania maana sio Kwa
mie mwenyewe kila siku naota nadrive subaru 🤣 🤣Mammae siku nilipodaulu oral nilifurahia kama nimepata kazi vile.
Maana Circle yangu waliongia oral wote kama sita wako kazini .
Mimi Database yangu inaisha Kati Kati ya Mwaka.
Nimeshapiga mahesabu hadi ya Gari la kununua.
Tumuombe Mungu ajalie na uzima
Sema kaka Tusiache kujenga Hata kajumba ka vyumba viwili Gari ni liabilities sio assertmie mwenyewe kila siku naota nadrive subaru [emoji1787] [emoji1787]
kujenga muhimu..Sema kaka Tusiache kujenga Hata kajumba ka vyumba viwili Gari ni liabilities sio assert
Utapangiwa mkuu, vuta subira pia usiache kujaribu kuendelea kufanya zikija za kada yakoMammae siku nilipodaulu oral nilifurahia kama nimepata kazi vile.
Maana Circle yangu waliongia oral wote kama sita wako kazini .
Mimi Database yangu inaisha Kati Kati ya Mwaka.
Nimeshapiga mahesabu hadi ya Gari la kununua.
Tumuombe Mungu ajalie na uzima
Fomu za mwajiri.Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu
Kla la kheriHaya jamani, mm ndo naenda kukandwa
Kila la kheri..... Na ikawe zamu Yako kuwakanda inshaallahHaya jamani, mm ndo naenda kukandwa
Mkuu kwenye utumishi wa umma toa taarifa sahihi zinazokuhusu ,inawezekana unaishi na kuzaliwa dar lakini original yako ni mbeya basi jaza mbeya kama ndo nyumbani kwako maana ata ukifa ukiwa kazini serikali itakufikisha mbeya na malipo ya likizo utalipwa nauli za mbeya 😃😃Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu
SahihiIvi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu