Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.

Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.

Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.

Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.

Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Hongera Sana mkuu, kila la kheri katika majukumu yako mkuu. Ukawe mtumishi mwema na mwadilifu.
 
Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.

Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.

Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.

Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.

Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Aise ukifanya oral utumishi sawsaw na mtu anayengoja kufumania maana sio Kwa
Mammae siku nilipodaulu oral nilifurahia kama nimepata kazi vile.

Maana Circle yangu waliongia oral wote kama sita wako kazini .

Mimi Database yangu inaisha Kati Kati ya Mwaka.

Nimeshapiga mahesabu hadi ya Gari la kununua.

Tumuombe Mungu ajalie na uzima
 
mie mwenyewe kila siku naota nadrive subaru 🤣 🤣
 
Mammae siku nilipodaulu oral nilifurahia kama nimepata kazi vile.

Maana Circle yangu waliongia oral wote kama sita wako kazini .

Mimi Database yangu inaisha Kati Kati ya Mwaka.

Nimeshapiga mahesabu hadi ya Gari la kununua.

Tumuombe Mungu ajalie na uzima
Utapangiwa mkuu, vuta subira pia usiache kujaribu kuendelea kufanya zikija za kada yako
 
Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu
 
Fomu za mwajiri.

Mabaharia ndio mbinu zao hizo.
 
Mkuu kwenye utumishi wa umma toa taarifa sahihi zinazokuhusu ,inawezekana unaishi na kuzaliwa dar lakini original yako ni mbeya basi jaza mbeya kama ndo nyumbani kwako maana ata ukifa ukiwa kazini serikali itakufikisha mbeya na malipo ya likizo utalipwa nauli za mbeya 😃😃
Sio we mkwere wa msoga unasema kwenu mbeya kisa upate malipo makubwa ya nauli za likizo hahaha hapana mkuu
 
Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu
Sahihi
 
Back
Top Bottom