Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda MTWARA ili zikifika may be likizo za uzazi anapewa fungu kubwa la safari...sasa sijajua kama kuna technique kama hizo au zaidi ya izo tujuzane ndugu kabla ya kwenda kujaza izo fomu zao....nasijajua hiyo itakua ni fomu ya muajiri au ya PSRS inayoitaji izo mbinu