Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Na kada pia mmefanana?Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
naenda na panga watatoa tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Aaa mkuu!! Kitambulisho utakipatia wapi?
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera sanaNamshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
[emoji24][emoji24]kuna fununu twitter uko kuwa pdf lingine litatoka december ni kweeli au nimeskia vibaya???
Nadhani PDF lingine tutarajie mwezi 4[emoji24][emoji24]
Na kada pia mmefanana?
Mzee wangu alinisimulia hhAmbacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Hata majina yakifanana vipi lkn vyeti haviwezi kufanana mana kila mtu taarifa zake akipangiwa kazi zinatumwa kwa mwajiri na kwa katibu mkuu utumishi hivo wkt wa kureport km sio muhusika watagundua tu kupitia taarifa binafsi km vyeti, nida n kAmbacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Ukienda utumishi utajua tuu haiwezekani usijue kama ni wewe au lah! Hata mlivyoitwa oral hamuwezi kufanana kwenye kila jambo!Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Index number ya form 4 ndo key, yaani hiyo ndo kila kitu kwahyo mwajiri ataangalia vyeti tu kisha itafahamika nani ndo muhusika wa hiyo nafasiAmbacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
[emoji24][emoji24]daah subra ya Psrs ngumu jmnNadhani PDF lingine tutarajie mwezi 4
Mkuu hongera sanaaa the wait is overMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini