Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
 
Na kada pia mmefanana?
 
Mzee wangu alinisimulia hh
Anasema kipindi cha nyuma serikalini kulikuwa na mfumo wa kutumia majina mawili tuhh, mfano jina SATO SANGALA hh ikajja kuleta shida kwa baadhi ya watu majina kufanana ndo iukaja mfumo wa kutumia majina matatu ambayo imekuwa si sahisha kama unavyosema majina kufanana yote matatu.

Nadhani kama hyo shida ikitokea na kuwa changamoto kwa watu wengi basi serikali inaweza kuja mpaka na mfumo wa kutumia majina manne.

Naomba kuwasilisha.
 
Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Hata majina yakifanana vipi lkn vyeti haviwezi kufanana mana kila mtu taarifa zake akipangiwa kazi zinatumwa kwa mwajiri na kwa katibu mkuu utumishi hivo wkt wa kureport km sio muhusika watagundua tu kupitia taarifa binafsi km vyeti, nida n k
 
Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Ukienda utumishi utajua tuu haiwezekani usijue kama ni wewe au lah! Hata mlivyoitwa oral hamuwezi kufanana kwenye kila jambo!
 
Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi taarifa ya kupiga simu wala e-mail kukujulisha wewe ndio umefaulu”. HII IMEKAAJE WADAU au Mimi ndio sifahamu vyema?
Index number ya form 4 ndo key, yaani hiyo ndo kila kitu kwahyo mwajiri ataangalia vyeti tu kisha itafahamika nani ndo muhusika wa hiyo nafasi
 
Back
Top Bottom