Yaan acha tu mkuu wale huwa nawaona ni Diploma ambao walikuwa database, I guess tangazo lao lilikuwa 2022 ndo wanachomolewa mdogo mdogo...kimbembe ni kwa Degree holders.. Sema Mungu yupo ngoja tusubirmhh huwa unasoma matangazo lakini.mi naonaga placement za maafisa misitu uwe unasoma post unaweza kuta unazipitaga tu.
uwe unasoma matangazo naamini utakutana nalo tuYaan acha tu mkuu wale huwa nawaona ni Diploma ambao walikuwa database, I guess tangazo lao lilikuwa 2022 ndo wanachomolewa mdogo mdogo...kimbembe ni kwa Degree holders.. Sema Mungu yupo ngoja tusubir
Kuna shida aisee sio burewa
Wanaleta stress tu ndo Database hiyo...!!!!ndo week nzima wanachambua majina yale.....
Wajitafakari !!!!inakela sanaaaa...
na makucha yakeKumekucha jobless.
Tumeamka sababu Giza limeisha tuKumekucha jobless.
soma majukumu yake ndimo wanapotoa siku hizi.Kaka inshort Utumishi hawajawahi toa kazi zinahusiana na nilichosoma ,, ndo mana nikiwaona watu humu wanaongea lini database iawakumbuka nasema God help them sisi hata kutolewa hizo kazi hakuna..[emoji16]
Ni post gani?Kuna miongozo mizuri ipo humu muizingatie wazeesoma majukumu yake ndimo wanapotoa siku hizi.
Sie wengine taaluma zetu hazisupport online interview
Taaluma zp?Sie wengine taaluma zetu hazisupport online interview
Wamesem maswal yatakua multiple choice na fill in the blanks..so wala usjar hakun kinachoshindkan utakutan na maswal ya aina tofautSie wengine taaluma zetu hazisupport online interview
Daah Sema MD'AS/LCAS wanachelewesh kutoa placement pengine ningepata jmn,ili balaa nilitaman lisinikute..system hainaga longo longo,mambo ya kujitetea kwa points hakuna apo ndp wa2 wataona huu mfumo mbaya kheri kwnda dodoma[emoji23]
Wale wa land alienation na forced labour e.t.c,mkae pemben [emoji23][emoji23] no kujitetea n full kupiga ana ana do,ukishangangaa shangaa time is up..Tuanze kunoa vichwa mapema turud daran kbsa
Hahaaaa ,hii fani yetu ni hatari mzee ,Jamani mbona post za electrical engineer sizioni
At this point haina hata maana ya kujihangaisha na hawa jamaa, fanya mambo mengine tu mzeeJamani mbona post za electrical engineer sizioni