Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
 
Haloo, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜… Miungu watu wapo Halmashauri.
 
Kwa hiyo huko ni kushika kibunda chako kila mwisho wa mwezi basi, hamna maokoto mengine...? Ila si haba huku mtaani tunabadilisha style ya za mikao tuu nyama ni ngumu mno!
 
Duu bora sijapelekwa halmashauri
 
salary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.

kwanza niulize hela ya kujikimu umelipwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Poleni aseeh lakini extra duty si ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…