Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mmh si mchezo
 
Amen
 
Wow, thanks for sharing this nimepata nguvu tena😊
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Chaka la wala rushwa.

Wakalia suti na tai.
 
Ndugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
 
hizi shuhuda zinanifanya nione kesho napata kazi.ila utumishi sasa 🤣 🤣
 
Hongera sana mkuu
 
Kabsa nami naona kama rizk ipo ni ipo tu kulko Kila mda kuingia utumishi, nimeshajifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…