Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Amini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakuja

Siku hiyo nilishangaa tu missed call nyingi na meseji za hongera, nikahisi kama utani

Katika usaili ambao sikuupa uzito ndio nikatoboa na ule ambao nilikaza sana fuvu sikuambulia kitu

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, alifanya njia pasipo njia, katika watu 130+, kutoboa mmoja kati ya Sita pekee nina kila sababu ya kusema Thank you Jesus🙏🏿
mmh si mchezo
 
Amen
 
Wow, thanks for sharing this nimepata nguvu tena😊
 
Ndugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
 
hizi shuhuda zinanifanya nione kesho napata kazi.ila utumishi sasa 🤣 🤣
 
Ndugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
Hongera sana mkuu
 
Kabsa nami naona kama rizk ipo ni ipo tu kulko Kila mda kuingia utumishi, nimeshajifunza
 
Back
Top Bottom