El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
usjali utazoea tu..Daah mm bdo moyo unatapatapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usjali utazoea tu..Daah mm bdo moyo unatapatapa
mmh si mchezoAmini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakuja
Siku hiyo nilishangaa tu missed call nyingi na meseji za hongera, nikahisi kama utani
Katika usaili ambao sikuupa uzito ndio nikatoboa na ule ambao nilikaza sana fuvu sikuambulia kitu
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, alifanya njia pasipo njia, katika watu 130+, kutoboa mmoja kati ya Sita pekee nina kila sababu ya kusema Thank you Jesus🙏🏿
AmenAmini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakuja
Siku hiyo nilishangaa tu missed call nyingi na meseji za hongera, nikahisi kama utani
Katika usaili ambao sikuupa uzito ndio nikatoboa na ule ambao nilikaza sana fuvu sikuambulia kitu
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, alifanya njia pasipo njia, katika watu 130+, kutoboa mmoja kati ya Sita pekee nina kila sababu ya kusema Thank you Jesus🙏🏿
Wow, thanks for sharing this nimepata nguvu tena😊Amini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakuja
Siku hiyo nilishangaa tu missed call nyingi na meseji za hongera, nikahisi kama utani
Katika usaili ambao sikuupa uzito ndio nikatoboa na ule ambao nilikaza sana fuvu sikuambulia kitu
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, alifanya njia pasipo njia, katika watu 130+, kutoboa mmoja kati ya Sita pekee nina kila sababu ya kusema Thank you Jesus🙏🏿
Wow, thanks for sharing this nimepata nguvu tena😊
Wow, thanks for sharing this nimepata nguvu tena😊
🤣🤣🤣yaani kada tu siioni alafu nataka kuliona jina si uchizi huu 🤣 🤣
Kutesa kwa zamu labda,wakianz kushusha zenu apo watu pia tutasem mmeonwayaani kada tu siioni alafu nataka kuliona jina si uchizi huu 🤣 🤣
Chaka la wala rushwa.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
hizi shuhuda zinanifanya nione kesho napata kazi.ila utumishi sasa 🤣 🤣Ndugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
Hongera sana mkuuNdugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
Huyu wa kuitwa T-pain ni wakupuuzwa, jinsi ambavyo mnamjibu ndivyo anazidi kutuma comment zake za kijinga.
Kabsa nami naona kama rizk ipo ni ipo tu kulko Kila mda kuingia utumishi, nimeshajifunzaNdugu zangu msife moyo. Kwa upande wangu nilifanya saili kadhaa pale utumishi na moja tu kati ya saili 8 nilipita oral. Nilisubiri takribani miezi 8 na wiki 2 nikaja kupigiwa simu na jamaa zangu wakati huo nilishakataa tamaa na utumishi maana nafasi zilishachukuliwa na wengine kwaiyo sikutegemea kupata tena.
Nawasihi tu watumishi wajao msikate tamaaa, tuzidi kuomba mungu na tufanye shughuli zingine hata ukiingia ucku kuperuzi kuona kumejiri nini sio mbaya. Jina likitoka kama unamarafiki na mpo kwenye harakati za ajira lazima watakutafuta tu.
dah mie mwenyewe nilishasemaga ivo lakini najikuta spidi ndo inazidi. 🤣 🤣Kabsa nami naona kama rizk ipo ni ipo tu kulko Kila mda kuingia utumishi, nimeshajifunza
Ata me nilishindwa asee lazma nipite mara kwa maradah mie mwenyewe nilishasemaga ivo lakini najikuta spidi ndo inazidi. [emoji1787] [emoji1787]