Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
[emoji3][emoji3][emoji3]ninchokumbuka mpaka sasa hivi ni kufunga switch tu.. [emoji1787] [emoji1787]
Vuta subira mzee zamu yako ikifika utafikiwa tuUtumish sio wanavyotufanyia jamn
sio poa yaan..Utumish sio wanavyotufanyia jamn
Sijui tumewakosea nnUtumish sio wanavyotufanyia jamn
Au wako kwenye fly emirates wanaelekea BBC 😂sio poa yaan..
🤣 🤣 🤣 tunaweza kua tunawalaumu kumbe wenzetu wanasshugulikia viza uko..Au wako kwenye fly emirates wanaelekea BBC 😂
Hahahahahahahaah🤣 🤣 🤣 tunaweza kua tunawalaumu kumbe wenzetu wanasshugulikia viza uko..
JARIBU KUWA UNAPITIA PITIA YALE ULIYOYASOMA HATA KAMA HAWAJAKWITA KWA AJILI YA TESTninchokumbuka mpaka sasa hivi ni kufunga switch tu.. 🤣 🤣
Ukiona hawajakujibu elewa hali si hali huko.WAJOMBA MLIOFANYA TEST ZA LEO KADA ZA ACCOUNTS OFFICER II NA WATU WA KILIMO, VIPI WENZETU PAPER LILIKUWAJE AU NDIO MIKANDO JUU YA MIKANDO, MWENDO WA KUTOKA VICHWA CHINI.
KIUFUPI MAMBO MAGUMUWAJOMBA MLIOFANYA TEST ZA LEO KADA ZA ACCOUNTS OFFICER II NA WATU WA KILIMO, VIPI WENZETU PAPER LILIKUWAJE AU NDIO MIKANDO JUU YA MIKANDO, MWENDO WA KUTOKA VICHWA CHINI.
Ni kuendelea kupambana haina kukata TamaaKIUFUPI MAMBO MAGUMU
Tuendelee Kupambana wazee siku ya kupata haifahamiki.KIUFUPI MAMBO MAGUMU
Mwaka wa Fedha huwa unaanza tarehe 1, July.Placements za watu waliofanya usahili mwezi 4 onwards zitachelewa. Bungeni ndo kwanza wanajadili budget za wizara, budget zipitishwe, pesa ndo zitolewe then ndo mtaitwa kwenye placements maana mishahara yenu inatoka humohumo kwenye budget. Na mwaka mpya wa fedha unaanza nafikiri katikati au mwishoni mwa mwezi wa sita. Huu ni mtazamo wangu, kwaiyo placements kutoka ni baado !!!!
Basi tukae kwa kusubiri sanaMwaka wa Fedha huwa unaanza tarehe 1, July.