Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Si wanatuzuga tu,pdf za kila siku 4 mfululizo zipo kimchongo tu yani wangeweka ndan ya pdf moja wakashona wakatulia sku 2 tatu wakashusha mzigo mwngine mzito wa kueleweka..apa kwel mpk kutok lingine sjui lini🙌
kumbe na wewe umewashtukia..
 
Hivi kumbe hawa PSRS wanaweza kukuita kazini tarehe tofauti na uliyofanya interview? Maana kuna jamaa yangu nilifanya nae interview mwezi wa pili tarehe 20 lakini kaja kuitwa kwa waliofanya usaili tarehe 19 Mwezi wa tatu
 
Mkuu soma tangazo la placement linakuwa limejieleza..mfano wanaandika waliofanya usaili kuanzia tarehe x mpk tarehe y
 
Ndugu zangu katika utaftaji jumapili ya Leo nipo hapa kuwapa moyo kila mtu atatoka kwa wakati wake uliosahihi, naamini ilo kwakua Mimi Ni mfano unaoishi. Mwaka 2022 bada ya kumaliza degree ya kwanza 2023 niliofanya interview yangu ya kwanza nkafika mpaka oral watu waliitwa kazin zaidi ya 700 lakini mim sikuwepo, mwaka huu nkaendelea na mapambano ya kuongeza received kwenye kuwania position1 while tulikua shortlisted watu zaidi ya 500 kwaajili ya written interview nilikumbana na changamoto nyingi kipindi Cha interview Mambo ya vyeti kutafuta affidavit nkapiga written interview kwa dk25 tu Mungu mwema nkapata nafasi ya kufika oral niliomba Sana huku nkifanya maandaliz ya kutosha na hatimae nkafanikiwa kuliona jina langu kwenye PDF direct. Kikubwa kilichonisukuma kutoa huu ushuhuda ndugu zangu ni tusikate tamaa kuomba na kujarib Tena na Tena hata Kama Ni nafasi moja Mana ndio inaweza kua ya kwako au ukapata kupitia data base tusikate tamaa katika kile tunacho amini.#consistency is the key.
 
Hongera, wengine tumemaliza miaka saba nyuma na bado tunaendelea kusubiri wakati wetu.. hii nafasi unayoongelea bila shaka itakua Youth Development Officer
 
Ndugu nisaidieni tip za kufaulu oral aisee maana hii ni mara ya pili mfululizo na kandwa kwenye oral!
 
Oral msingi muhim ni confidence, fanyia kazi ishu ya kuji introduce vzr, jitahd kujua zile duties wkt wa tangazo, kujua abc za maswala ya hio kada/post unayofanyia, challenges pia za kazi husika kazn, ulizia pia wenzako waliwahi kufika oral ya post hio unaeza pata maswali common
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…