Ndugu zangu katika utaftaji jumapili ya Leo nipo hapa kuwapa moyo kila mtu atatoka kwa wakati wake uliosahihi, naamini ilo kwakua Mimi Ni mfano unaoishi. Mwaka 2022 bada ya kumaliza degree ya kwanza 2023 niliofanya interview yangu ya kwanza nkafika mpaka oral watu waliitwa kazin zaidi ya 700 lakini mim sikuwepo, mwaka huu nkaendelea na mapambano ya kuongeza received kwenye kuwania position1 while tulikua shortlisted watu zaidi ya 500 kwaajili ya written interview nilikumbana na changamoto nyingi kipindi Cha interview Mambo ya vyeti kutafuta affidavit nkapiga written interview kwa dk25 tu Mungu mwema nkapata nafasi ya kufika oral niliomba Sana huku nkifanya maandaliz ya kutosha na hatimae nkafanikiwa kuliona jina langu kwenye PDF direct. Kikubwa kilichonisukuma kutoa huu ushuhuda ndugu zangu ni tusikate tamaa kuomba na kujarib Tena na Tena hata Kama Ni nafasi moja Mana ndio inaweza kua ya kwako au ukapata kupitia data base tusikate tamaa katika kile tunacho amini.#consistency is the key.