Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
kwanini wasitumie mofumo na technologia ni kitu cha siku mbili tuSahihi utumishi ina nguvu kazi ndogo ni wakati wao sasa na wao wapate kibali cha kuajiri ili kuongeza nguvu kazi ili kuboresha ufanisi wa kaz ziende kwa haraka
Mtu anaombewa nafasi anaambiwa hakuna anajibu usiniambie ivo nafasi hakuna,aah sawa mkuu basi ngoja tuangalie mkuu mara uyo mtu anapigiwa simu anambiwa njoo j3 na vyeti vyako uripoti😭😭,tena izo taasis zinazoajir wenyewe ndo ovyo kabisa ni mwendo wa 1 call na its order hakuna wa kupinga.huyu raisi amechangia kiasi kikubwa sana katika hili.sijui aliwaza nini kuweka mifumo miwili ya kuajiri maana hapo wewe unalalamika wenzio nyuma ya pazia wanaingia kiulaini tena taasisi nzitonzito sie tunasubiri mamikeka ya tutorial assistant
Alooooh mpk bwana T-pain imekuchoma Leo umetoa ya moyonihuyu raisi amechangia kiasi kikubwa sana katika hili.sijui aliwaza nini kuweka mifumo miwili ya kuajiri maana hapo wewe unalalamika wenzio nyuma ya pazia wanaingia kiulaini tena taasisi nzitonzito sie tunasubiri mamikeka ya tutorial assistant
Watu wana mengi basi tu wngine wanajikaza kisabuni,sindano zinawaingia lknAlooooh mpk bwana T-pain imekuchoma Leo umetoa ya moyoni
Wacha wapambane mkuu life Yao ngumu sana vijijini huko wengine wanagonga mpk bundi wanaaga duniaNaona sahivi ni watendaji wa kijiji kila nikichungulia ajira portal....
Una lipi la kusema mkuu,tupo live?🤣mida yao
mie sina usemi sasa hivi liwalo na liweUna lipi la kusema mkuu,tupo live?🤣
naona pinacoladee upo attention web sasa hivi tayari kushuhudia masecretary waendesha ofisi na madereva wanavyolamba asali 🤣 🤣Una lipi la kusema mkuu,tupo live?🤣
Daaah npo live mkuu,nahis sku nikilamba asali sitakua onlinenaona pinacoladee upo attention web sasa hivi tayari kushuhudia masecretary waendesha ofisi na madereva wanavyolamba asali 🤣 🤣
hawa utumishi mambo yameshakua mengiDaaah npo live mkuu,nahis sku nikilamba asali sitakua online
Daaah kazi kweli kwelihawa utumishi mambo yameshakua mengi
🤣🤣🤣utumishi bana yaani mie nimesoma udereva nina cheti na leseni ninayo ila siwezi apply nashuhudia masuka wenzangu wanavyomiminiwa asali mbichi.. 🤣 🤣
Pole badirisha vyeti kwenye portal mkuu weka vya udereva kapige usahili ukitoboa ukaingia kwenye system baadae unabadirisha fani juu kwa juu huku ukilamba asali madereva ni ma last born wa utumishi wa ummautumishi bana yaani mie nimesoma udereva nina cheti na leseni ninayo ila siwezi apply nashuhudia masuka wenzangu wanavyomiminiwa asali mbichi.. 🤣 🤣
Niliwahi kukosea cheti vyeti vya academic ilibidi niwapigie wanitolee mwenyewe huwezikwani vyeti vinabadilika pale mie naona ukiweka vya mwanzo vinabaki
umefika oral kada nyingine kaka kwa kutulia tu mkuu wakati wako ukifika utaitwa tu ni swala la mudammh ngoja nitulie tu mambo yasiwe mengi