Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Sio kila course lazima ujiajiri.Kila course una uwezo wa kujiajiri ukiamua shida au changamoto ni kick start(starting capital before implementation) na taifa limejaa watoto wa wakalala hoi je unafikili afanyaje sasa mwisho wa siku anaishia katika vibarua , kwa kusema nasikilizia mchongo wa ajira au anasema natafuta capital nifanye mishe zangu ama biashara ila siku zinaenda na anao ananza familia akisha fikisha watoto wawili ndo anaona kipato hakitoshi majukumu yamekuwa anaishia kundunduliza mwisho wa siku anakufa mapema
ipo siku tu kamanda tutatoboa kulaalekiKaka injinia Watakukumbuka psrs usjali.
Halfu wanaandika kwa HERUFI KUBWA SANA.ipo siku tu kamanda tutatoboa kulaaleki
Apo kwenye Misitu hapo mkuu... ningejuaa.. nisngeenda teseka SUAMkuu ipi hiyo...misitu na nyuki au
Zote unajiajiriSio kila course lazima ujiajiri.
Hr.
Procurement and supply.
Eleewa vyema msg soma vizuriUna uhakika au unaongea kwa hisia tu.
Taasisi zipi zinawapa watu check number TAESA
SUASO😂Apo kwenye Misitu hapo mkuu... ningejuaa.. nisngeenda teseka SUA
Ajira zipomkuu...jamaa wapo semina Iringa uko...na katibu yupo uko, akirudi utazionaIle siku ya kutangaza selection za form 5 na vyuo ilikua ni siku ya kutangaza Ajira na nafasi za ajira sijui nini kimetokea maelezo kutoka juu..😁
Ajira hadi mwakani 2025 ikiwa week ya kwanza hii ikaisha hadi week ya pili tarehe 15 mwezi wa sita ujue ni hadi 2025, poleni sana vijana msikate tamaa
Hakuna unachojua.Ile siku ya kutangaza selection za form 5 na vyuo ilikua ni siku ya kutangaza Ajira na nafasi za ajira sijui nini kimetokea maelezo kutoka juu..[emoji16]
Ajira hadi mwakani 2025 ikiwa week ya kwanza hii ikaisha hadi week ya pili tarehe 15 mwezi wa sita ujue ni hadi 2025, poleni sana vijana msikate tamaa
Nimekuelewa nimeona muongo tuEleewa vyema msg soma vizuri
Anasema za tamisemi ualimu%afya elfu 24Ajira zipomkuu...jamaa wapo semina Iringa uko...na katibu yupo uko, akirudi utaziona
Aah sawa...ualimu wengine wamepiga interview may hapoAnasema za tamisemi ualimu%afya elfu 24
Wale wa wizaraAah sawa...ualimu wengine wamepiga interview may hapo
Siku imeishwLeo ni shwaaaaaa.