Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Sio kila course lazima ujiajiri.Kila course una uwezo wa kujiajiri ukiamua shida au changamoto ni kick start(starting capital before implementation) na taifa limejaa watoto wa wakalala hoi je unafikili afanyaje sasa mwisho wa siku anaishia katika vibarua , kwa kusema nasikilizia mchongo wa ajira au anasema natafuta capital nifanye mishe zangu ama biashara ila siku zinaenda na anao ananza familia akisha fikisha watoto wawili ndo anaona kipato hakitoshi majukumu yamekuwa anaishia kundunduliza mwisho wa siku anakufa mapema
Hr.
Procurement and supply.