Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kila course una uwezo wa kujiajiri ukiamua shida au changamoto ni kick start(starting capital before implementation) na taifa limejaa watoto wa wakalala hoi je unafikili afanyaje sasa mwisho wa siku anaishia katika vibarua , kwa kusema nasikilizia mchongo wa ajira au anasema natafuta capital nifanye mishe zangu ama biashara ila siku zinaenda na anao ananza familia akisha fikisha watoto wawili ndo anaona kipato hakitoshi majukumu yamekuwa anaishia kundunduliza mwisho wa siku anakufa mapema
Sio kila course lazima ujiajiri.

Hr.
Procurement and supply.
 
Sio kila course lazima ujiajiri.

Hr.
Procurement and supply.
Zote unajiajiri
Kwani ukiwa na firm yako na unasupply material au huduma kqa sio misingi ya procurement na supply, pia kuna HR wa kujitegemea wengi tu mfano HR World si wamejiajiri nyewe wale
 
Ile siku ya kutangaza selection za form 5 na vyuo ilikua ni siku ya kutangaza Ajira na nafasi za ajira sijui nini kimetokea maelezo kutoka juu..😁

Ajira hadi mwakani 2025 ikiwa week ya kwanza hii ikaisha hadi week ya pili tarehe 15 mwezi wa sita ujue ni hadi 2025, poleni sana vijana msikate tamaa
 
Ajira zipomkuu...jamaa wapo semina Iringa uko...na katibu yupo uko, akirudi utaziona
 
Ile siku ya kutangaza selection za form 5 na vyuo ilikua ni siku ya kutangaza Ajira na nafasi za ajira sijui nini kimetokea maelezo kutoka juu..[emoji16]

Ajira hadi mwakani 2025 ikiwa week ya kwanza hii ikaisha hadi week ya pili tarehe 15 mwezi wa sita ujue ni hadi 2025, poleni sana vijana msikate tamaa
Hakuna unachojua.

Kama unabahatisha tu.

Wewe una uhakika gani walikuwa wanatangaza ajira.

Kibali cha 46000 elfu allchotangaza simbachawene ni cha 2024/25 sema watu walizoea tamisemi kuajiri mwezi wa saba
 
Huu uzi ungebadilishwa jina ili ata viongozi wasome maoni yetu....
Kwa jinsi ulivyo, ni vigumu sana kusomwa na viongozi
 
Back
Top Bottom