Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Si naskiaga watu wanapigiwa simu..labda ukiwa hupatikani,ila mwaka mzima Huna taarifa yyte mmmh ata wambea hajakutafuta kukupa hongera
Sidhani kama imewahi tokea, ni ishu ya kufikirika, kwa zama hizi taarifa lazima uzipate hata ukiwa uvunguni mwa bahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…