Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi nasubiri shortlist NAOT, MNH, ORCI
 
Ninachoona kwa sasa ni kufuatilia vyuo husika maana utumishi wanachelewaga kuweka matangazo.. HIV vyote wanafanya saili wenyewe
Duh! Hii imekaaje, inamaana inawezekana taarifa isionekane kwenye website ya utumishi ila ikaonekana kwenye ya chuo husika!?

Bona hawa jamaa wanafanya mambo yawe magumu sana.
 
Wadau eeeeh, kwenye web ya utumishi kama kutakuwa na new label yoyote mtujulishe humu.. Yaan kama tangazo la kazi, interview au placement maana watu tunashinda humu JF via Freebasics, bando limepanda sana wakuu hvyo hatuwezi kuaccess psrs web kila mda na kila Siku
 
Usijali mkuu, mimi kila siku lazima nichungulie PSRS. Nitaleta mrejesho wa news yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…