Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daa nilikuwaga nashangaa inakuwaje graduate anasugua kitaa miaka 5 toka amalize chuo.
Mwezi wa saba na mimi nafikisha 5 years nikiwa jobless kumbe miaka inakimbia hivi.
Utumishi imekuwa kama karakana ya kuzalisha jobless wenye matatizo ya akili mtu unasubiri placement bila kujua kama uko database au walikutema
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari sana
 
mie nilikuaga najisemea nikimaliza chuo tu najenga fasta nanunua na kateza cha kuzugia kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…