El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
nawapa nusu saa pale kwenye advertisement patakua hapatamaniki..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni kweli jaman mbona ujobless wetu wengine hatuoni dalili za mwisho wake 🤣 🤣hivyo hivyo mdogo mdogo tu, hii asali haiishi nawe pia utaikuta Vumilia ujobless unamwisho
Halmashauri ya mpimbwe.... 🤣🤣🤣nawapa nusu saa pale kwenye advertisement patakua hapatamaniki..
halmashauri wanakichafua muda si mrefuHalmashauri ya mpimbwe.... 🤣🤣🤣
majobless wa bongo wanaogopa mabomu ya machozi marungu ya ugoko na yule bodgadi wa raisi aliyevaa jubaMajobless wa Kenya naona wameingia road
Kiukwel hawa jamaa wametuacha mbali vijanamajobless wa bongo wanaogopa mabomu ya machozi marungu ya ugoko na yule bodgadi wa raisi aliyevaa juba
HRs wa Halmashauri wana roho nyeusi sana huwa wanajiona Miungu watu.Jidanganye haujakutana na HR Mwenye roho ngumu
pinacoladee leo wanatoa pdf kaa mkao wa kulaVp leo kitanuka?🤣
Mambo ayo😋pinacoladee leo wanatoa pdf kaa mkao wa kula
Mbwembwe nyingi,vitendo sasaTukutane Chinangali park-Dodoma
Ujumbe upo Instagram
Wanatafuta posho kwa nguvu zoteMbwembwe nyingi,vitendo sasa
Na wanapiga parefu kwelWanatafuta posho kwa nguvu zote
Walianza kuzunguka kwenye media..Na wanapiga parefu kwel
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari sanaDaa nilikuwaga nashangaa inakuwaje graduate anasugua kitaa miaka 5 toka amalize chuo.
Mwezi wa saba na mimi nafikisha 5 years nikiwa jobless kumbe miaka inakimbia hivi.
Utumishi imekuwa kama karakana ya kuzalisha jobless wenye matatizo ya akili mtu unasubiri placement bila kujua kama uko database au walikutema
Hamna namna ni kukaza roho tu .Daaah na hekaheka za kudaiwa leseni ngachoka mimi
mie nilikuaga najisemea nikimaliza chuo tu najenga fasta nanunua na kateza cha kuzugia kumbeDaa nilikuwaga nashangaa inakuwaje graduate anasugua kitaa miaka 5 toka amalize chuo.
Mwezi wa saba na mimi nafikisha 5 years nikiwa jobless kumbe miaka inakimbia hivi.
Utumishi imekuwa kama karakana ya kuzalisha jobless wenye matatizo ya akili mtu unasubiri placement bila kujua kama uko database au walikutema